Hivi Kenya hakuna polisi , mbona wapinzani hawapigwi mabomu ?

Uhuru aliwaambia polisi waache watu waandamane
 
Ukawa msibadili gia angani....mmeshindwa uchaguzi wa Kenya ....wizi wa kura! Angeshinda Uhuru huko mahakamani usingeandika haya!acheni unafki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya mambo walizichapa 2007 nafikir saiv kila mmoja kaona nguvu ya mwenzie wanaheshimiana hata huku naona kuna ka harufuk ka mechi ya kirafiki
 
Ukawa msibadili gia angani....mmeshindwa uchaguzi wa Kenya ....wizi wa kura! Angeshinda Uhuru huko mahakamani usingeandika haya!acheni unafki

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa ivi hadi kenya kuna ukawa...au kwasabab walimsupport uhuru,.nadhani ukawa wapo kwene safe side maan walissuport uhuru coz waliona is one of democratic figure na bado kaendelea kuonyesha hivo ata akishindwa bt kajarbu tu show up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya baada ya tukio la uchaguzi uliopita wakauana, wamejifunza kufanya siasa za kistaarabu. Hapa wanasiasa baadhi yao ni washari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…