Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana masomo muhimu hapa kwetu ni parade na kulenga shabaha .Mafunzo ya police wa Kenya ni tofauti na mafunzo ya polisi wa Tanzania.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Kenya oyeeee !!!!IGP kenya anakuwa veted anahojiwa na kupitishwa na bunge,sio kama huku kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukawa msibadili gia angani....mmeshindwa uchaguzi wa Kenya ....wizi wa kura! Angeshinda Uhuru huko mahakamani usingeandika haya!acheni unafkiHakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
wale kwenye viroba ni kina nani eti ?Hawapigwi, ila wanakufaga mysterious death na kupotea.
Wewe ni policcm ?Ukawa msibadili gia angani....mmeshindwa uchaguzi wa Kenya ....wizi wa kura! Angeshinda Uhuru huko mahakamani usingeandika haya!acheni unafki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni policcm ?Ukawa msibadili gia angani....mmeshindwa uchaguzi wa Kenya ....wizi wa kura! Angeshinda Uhuru huko mahakamani usingeandika haya!acheni unafki
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa ivi hadi kenya kuna ukawa...au kwasabab walimsupport uhuru,.nadhani ukawa wapo kwene safe side maan walissuport uhuru coz waliona is one of democratic figure na bado kaendelea kuonyesha hivo ata akishindwa bt kajarbu tu show upUkawa msibadili gia angani....mmeshindwa uchaguzi wa Kenya ....wizi wa kura! Angeshinda Uhuru huko mahakamani usingeandika haya!acheni unafki
Sent using Jamii Forums mobile app
wale kwenye viroba ni kina nani eti ?Hawapigwi, ila wanakufaga mysterious death na kupotea.
Duuh ...umeandaa urineInasemekana masomo muhimu hapa kwetu ni parade na kulenga shabaha .
Kenya baada ya tukio la uchaguzi uliopita wakauana, wamejifunza kufanya siasa za kistaarabu. Hapa wanasiasa baadhi yao ni washariHakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Hilo jambo limefedhehesha sana jeshi la polisi .wale kwenye viroba ni kina nani eti ?
Kwa lipi mkuu ?Duuh ...umeandaa urine
carnte himself