Hivi Kenya hakuna polisi , mbona wapinzani hawapigwi mabomu ?

Hivi Kenya hakuna polisi , mbona wapinzani hawapigwi mabomu ?

Uhuru aliwaambia polisi waache watu waandamane
 
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
Ukawa msibadili gia angani....mmeshindwa uchaguzi wa Kenya ....wizi wa kura! Angeshinda Uhuru huko mahakamani usingeandika haya!acheni unafki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya mambo walizichapa 2007 nafikir saiv kila mmoja kaona nguvu ya mwenzie wanaheshimiana hata huku naona kuna ka harufuk ka mechi ya kirafiki
 
Ukawa msibadili gia angani....mmeshindwa uchaguzi wa Kenya ....wizi wa kura! Angeshinda Uhuru huko mahakamani usingeandika haya!acheni unafki

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa ivi hadi kenya kuna ukawa...au kwasabab walimsupport uhuru,.nadhani ukawa wapo kwene safe side maan walissuport uhuru coz waliona is one of democratic figure na bado kaendelea kuonyesha hivo ata akishindwa bt kajarbu tu show up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
Kenya baada ya tukio la uchaguzi uliopita wakauana, wamejifunza kufanya siasa za kistaarabu. Hapa wanasiasa baadhi yao ni washari
 
Back
Top Bottom