Hivi Kenya hakuna polisi , mbona wapinzani hawapigwi mabomu ?

Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
Hamia Kenya Basi. Kwanza wapinzani wa Kenya wanajitambua siyo Kama nyie
 
Wenzenu tulimwaga damu na hawa mnaowasifu tuliwapeleka ICC the hague ndio maana leo wanaheshimu Raia na sheria za nchi. Nyie endeleeni kusbiri huruma za wasiojua umuhimu wa Amani siku wakijisikia watawapeni haki.
Umesema kweli kabisa cc hapa mtu anashinda uchaguzi ananyang'anywa ushindi halafu yeye ndiye anaeomba mazungumzo na mtu aliyemdhulumu na hiyo hiyo ndiye anaekuwa mwenyekiti wa hayo mazungumzo kweli tutafika hapo walipofikia Kenya katu hatufiki hata hiyo miaka 40 aliyosema Generali ulimwengu ni assumption tu sio uhalisia Kenya democracy ilipiganiwa haikuombwa.
 
Kiwango cha uelewa wa wananchi wa Kenya kila kundi kipo juu sana ukilinganisha na cha Watanzania.
1) Huwezi kulinganisha uelewa wa viongozi wa Kenya na Tanzania
2) Huwezi kulinganisha majaji wa Kenya na Tanzania
3) Ukimwondoa Tundu Lisu, huwezi kulinganisha viongozi wa kisiasa wa Kenya na Tanzania, iwe CCM au upinzani
4) Huwezi kulinganisha ujasiri wa Wakenya na Watanzania
5) Huwezi kulinganisha uelewa wa wananchi wa Kenya na Tanzania
6) Huwezi kulinganisha ujasiri wa wasomi wa Kenya na Tanzania

Watanzania karibia wote ni watu waoga, uelewa mdogo, wanafiki, watu wa maneno mengi lakini matendo ni sifuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi tume iliyosimamia uchaguzi kenya ni ya nchi gani?, Ivi tume iliyosimamia uchaguzi kenya na ikatangaza mshindi huku ikijinasibu kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki ipo chini ya katiba gani na ya nchi gani? UKAWA acheni kutapatapa!
 
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
Wangekuwa wanatukana pia wangekuwa wanakutana na mkono wa dola
 
Wacha kudanganya watu wewe,Kenya unauawawa ukileta za kuleta ukitaka mifano nikuoneshe
Siku ya jumatatu vilitembea virungu vya kutosha mahakamani baada ya watu wa Odinga kulazimisha kuingia kwa wingi mahakamani,mpaka sasa mlinzi wa Odinga ana kesi ya kuchomoa bastola hadhari na kuipunga kama mwenge wa uhuru
Hilo ni tukio moja, hapa unazungumziwa utawala bora na weledi wa jeshi la polisi kwa ujumla.
 
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
Jamani nimeangalia Tv ya Citizen ya Kenya sasa hivi Uhuru amehutubia kwa muda mfupi akisema hakubaliani na hukumu ila ataiheshimu sijui na kue The Hague pia alikataa kuitambua hukumu za wale majaji? Hata hivyo kama ulimuangalia alionekana vile hayupo sawa kama amelewa au ni handis!!!
 
Wenzenu tulimwaga damu na hawa mnaowasifu tuliwapeleka ICC the hague ndio maana leo wanaheshimu Raia na sheria za nchi. Nyie endeleeni kusbiri huruma za wasiojua umuhimu wa Amani siku wakijisikia watawapeni haki.
 
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
Kenya ndugu yangu police wanataka kazi kwa kufuata kitabu/katiba. Akija kukukamata anamwambia anakukamata kwa kutumia kifungu flani cha katiba. Tz unapokelewa na vichwa. Mateke na kubambikizwa kesi juu. Sisiemi oyeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Kiwango cha uelewa wa wananchi wa Kenya kila kundi kipo juu sana ukilinganisha na cha Watanzania.
1) Huwezi kulinganisha uelewa wa viongozi wa Kenya na Tanzania
2) Huwezi kulinganisha majaji wa Kenya na Tanzania
3) Ukimwondoa Tundu Lisu, huwezi kulinganisha viongozi wa kisiasa wa Kenya na Tanzania, iwe CCM au upinzani
4) Huwezi kulinganisha ujasiri wa Wakenya na Watanzania
5) Huwezi kulinganisha uelewa wa wananchi wa Kenya na Tanzania
6) Huwezi kulinganisha ujasiri wa wasomi wa Kenya na Tanzania

Watanzania karibia wote ni watu waoga, uelewa mdogo, wanafiki, watu wa maneno mengi lakini matendo ni sifuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba 4,5 na 6 nakubaliana nawe kwa 100%
 
Endeleeni kujidanganya. Ila nawashauri Tu muhamie mbona east Africa. Afu mje mkomment hapa baada ya mwaka. Mke wako ukishampta. Wa mwenzako ndo mzuri.
 
Kenya walishaachana na ujinga siku nyingi ndugu yangu.
Nadhani kule kumwaga damu kumewasaidia kuwafikisha hapa. Ili dhahabu ipate thamani ni sharti ipite kwenye moto, sisi bado hatujapita kwenye magumu. Tutasubiri sana na matamko ni nchi ya amani, watu wake wanapigwa mabumu hata kwenye mambo yasiyofaa kutumia nguvu hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua bongo hapa, sipati picha ..

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom