Kiwango cha uelewa wa wananchi wa Kenya kila kundi kipo juu sana ukilinganisha na cha Watanzania.
1) Huwezi kulinganisha uelewa wa viongozi wa Kenya na Tanzania
2) Huwezi kulinganisha majaji wa Kenya na Tanzania
3) Ukimwondoa Tundu Lisu, huwezi kulinganisha viongozi wa kisiasa wa Kenya na Tanzania, iwe CCM au upinzani
4) Huwezi kulinganisha ujasiri wa Wakenya na Watanzania
5) Huwezi kulinganisha uelewa wa wananchi wa Kenya na Tanzania
6) Huwezi kulinganisha ujasiri wa wasomi wa Kenya na Tanzania
Watanzania karibia wote ni watu waoga, uelewa mdogo, wanafiki, watu wa maneno mengi lakini matendo ni sifuri.
Sent using
Jamii Forums mobile app