Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

Tanzania tuna utarabu WA Maraisi WA Dini zote mbili Ila hakuna la maana zaidi ya hao Kenya kila siku tozo.
 
Hilo ndio swali huwa najiukuza maana mda mwingi Wana entertain mambo ya Dini ya Kikristo na kuwatenga Waislamu..

Kwa nini iko hivyo? Kama Wajalua wamepigwa chini Urais kwa Waislamu si ndio itakuwa haiwezekani kabisa?
Umezoea nchi inayotukuza ushetani?
Kina Zuchu wakiimba majukwaa yenu...inama...panua...ingiza?
 

Leo nimekua busy sijawa na fursa ya kuskliza, nitafuatilia baadaye, mleta mada sijaelewa anacholenga maana nchi yetu haiendeshwi kwa misingi ya kidini, tunazo dini nyingi japo Wakristo ndio wengi.
 
Unawatisha kwa dini!!???
Ukabila ulishawagawa kitambo hizo dini hasa ya mtume ndio hawaiwazii kabisa
 
Hilo ndio swali huwa najiuliza maana mda mwingi wana entertain mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu.

Kwa nini iko hivyo? Kama Wajaluo wamepigwa chini Urais, kwa Waislamu si ndiyo itakuwa haiwezekani kabisa?
Jiulize pia kuhusu Zanzibar ! Kama ilivyo Zanzibar ndivyo ilivyo Kenya. Tena ni afadhari ya Kenya kuliko zenji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…