Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Kila nikiona avatar yako huwa nasisimka sana, navuta picha kama ni picha halisi.Kama tu ilivyo ngumu mkristo kuwa Rais Zanzibar.
The best smile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nikiona avatar yako huwa nasisimka sana, navuta picha kama ni picha halisi.Kama tu ilivyo ngumu mkristo kuwa Rais Zanzibar.
Mhe waziri naomba uliangalie hilo pia.Sawa
Tutaliangalia Hilo
Mjinga wewe hata aibu huoni!Ushenzi gani wewe tumbili mweusi? Tanzania ndio tumewafundisha hata ustahimikivu wa kisiasa..
Na Rais Samia kawachana live kwamba mwaka huu kiukweli mumetupa zawadi ya kutobeba wakimbizi wenu [emoji38][emoji38]
Umezoea nchi inayotukuza ushetani?Hilo ndio swali huwa najiukuza maana mda mwingi Wana entertain mambo ya Dini ya Kikristo na kuwatenga Waislamu..
Kwa nini iko hivyo? Kama Wajalua wamepigwa chini Urais kwa Waislamu si ndio itakuwa haiwezekani kabisa?
Jikite kwenye hoja,Nyie ninsecular au non secular state?Umezoea nchi inayotukuza ushetani?
Kina Zuchu wakiimba majukwaa yenu...inama...panua...ingiza?
Aibu gani? Kenya ni Nchi ya Kikristo au?Mjinga wewe hata aibu huoni!
..mimi nina wasiwasi sana na jinsi Ruto na timu yake wanavyomtaja-taja MUNGU kila wakati.
..Ningependa zaidi waitaje KATIBA ya Kenya ndio muongozo wao.
NB:
..Pia hotuba ya Makamu wa Rais nimeiona kama haikuwa sahihi ktk hafla ya kumuapisha Raisi mpya.
Cc MK254
Unawatisha kwa dini!!???Hakika umenitangulia kupost,mwenyewe apa nilifungua jukwaa ili niandike mawazo yangu lakini nimekutana na thread yako tayari.
Mbaya zaidi sherehe/hafla za kitaifa zinapambwa na taratibu za dini ya kikirsto pekee mf,siku ya kutangaza matokeo ya urais na Leo pia siku ya Kula kiapo huko ni kuligawa taifa.Muda so mrefu udini unaenda kulitafuna Hilo Taifa na pia rais mteule anaonekana wazi wazi kabisa kwamba atakua mdini wa kweli.
Una mzuum bro mnamzumia angle zipi!?Kila nikiona avatar yako huwa nasisimka sana, navuta picha kama ni picha halisi.
The best smile
Jiulize pia kuhusu Zanzibar ! Kama ilivyo Zanzibar ndivyo ilivyo Kenya. Tena ni afadhari ya Kenya kuliko zenjiHilo ndio swali huwa najiuliza maana mda mwingi wana entertain mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu.
Kwa nini iko hivyo? Kama Wajaluo wamepigwa chini Urais, kwa Waislamu si ndiyo itakuwa haiwezekani kabisa?
Acha upimbi mkuu,by the way am not muslimSio nchi ya kikristo, tatizo ni kwamba mkipewa fursa, hata kidogo tu, huwa mnaanza kujilipua ovyo ovyo. 😄 Tunawajua! 😆
Umeona Muslims tu wengine iko wapi ?
Muda so mrefu udini unaenda kulitafuna Hilo Taifa na pia rais mteule anaonekana wazi wazi kabisa kwamba atakua mdini wa kweli.
Nao ni kama Zanzibar tu