Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

Tanzania tuna utarabu WA Maraisi WA Dini zote mbili Ila hakuna la maana zaidi ya hao Kenya kila siku tozo.
 
Hilo ndio swali huwa najiukuza maana mda mwingi Wana entertain mambo ya Dini ya Kikristo na kuwatenga Waislamu..

Kwa nini iko hivyo? Kama Wajalua wamepigwa chini Urais kwa Waislamu si ndio itakuwa haiwezekani kabisa?
Umezoea nchi inayotukuza ushetani?
Kina Zuchu wakiimba majukwaa yenu...inama...panua...ingiza?
 
..mimi nina wasiwasi sana na jinsi Ruto na timu yake wanavyomtaja-taja MUNGU kila wakati.

..Ningependa zaidi waitaje KATIBA ya Kenya ndio muongozo wao.

NB:

..Pia hotuba ya Makamu wa Rais nimeiona kama haikuwa sahihi ktk hafla ya kumuapisha Raisi mpya.

Cc MK254

Leo nimekua busy sijawa na fursa ya kuskliza, nitafuatilia baadaye, mleta mada sijaelewa anacholenga maana nchi yetu haiendeshwi kwa misingi ya kidini, tunazo dini nyingi japo Wakristo ndio wengi.
 
Hakika umenitangulia kupost,mwenyewe apa nilifungua jukwaa ili niandike mawazo yangu lakini nimekutana na thread yako tayari.

Mbaya zaidi sherehe/hafla za kitaifa zinapambwa na taratibu za dini ya kikirsto pekee mf,siku ya kutangaza matokeo ya urais na Leo pia siku ya Kula kiapo huko ni kuligawa taifa.Muda so mrefu udini unaenda kulitafuna Hilo Taifa na pia rais mteule anaonekana wazi wazi kabisa kwamba atakua mdini wa kweli.
Unawatisha kwa dini!!???
Ukabila ulishawagawa kitambo hizo dini hasa ya mtume ndio hawaiwazii kabisa
 
Hilo ndio swali huwa najiuliza maana mda mwingi wana entertain mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu.

Kwa nini iko hivyo? Kama Wajaluo wamepigwa chini Urais, kwa Waislamu si ndiyo itakuwa haiwezekani kabisa?
Jiulize pia kuhusu Zanzibar ! Kama ilivyo Zanzibar ndivyo ilivyo Kenya. Tena ni afadhari ya Kenya kuliko zenji
 
Back
Top Bottom