Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Kwani Zanzibar na Tanganyika bara ni Nchi za kiislamu? Mbona Rais anavaa Ushuñgi kila mara na Rais mwingine kasema Ijumaa na Mwaka wa kiislamu uwe siku ya Mapumziko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wakaazi wa mwanzo Zanzibar na Lamu, Kenya na Pwani ya Tanganyika kabla kuja mwarabu walikuwa na dini gani ?Africa uislamu uliibuka kimiujiza ama?
Kwani wakaazi wa mwanzo Zanzibar na Lamu, Kenya na Pwani ya Tanganyika kabla kuja mwarabu walikuwa na dini gani ?
Sasa niambie mwarabu alikuja mwaka gani na ni sababu gani ilimfanya kuja hukuWalikuwa na dini zao za kimila. Kila jamii ilikuwa na utaratibu wake wa kuabudu kabla ya wazungu na waarabu kuja africa.
Ukristo na uislamu umeletwa africa na wakoloni . Kabla wakoloni hawajaja hizi dini hazikuwepo katika nchi zetu
Sasa niambie mwarabu alikuja mwaka gani na ni sababu gani ilimfanya kuja huku
Nilijua tu utakimbia swali kwani hapo ndio Mwisho wako.Huwa sijibu maswali yasiyokuwa na msingii.. maana unataka tukeshe tunachat kama watoto wa shule
Nilijua tu utakimbia swali kwani hapo ndio Mwisho wako.
Hata hivyo unaweza kuchungulia kwenye Google nimekuruhusu
Mrembo mzuri sana huyo,ni Gabrielle Union kama sikoseiKila nikiona avatar yako huwa nasisimka sana, navuta picha kama ni picha halisi.
The best smile
Sitaki hata google. Nimekupa ushindi. Sina muda wa kuchati chati. Maana hata nikijibu utauliza lingine mpaka kukuche.
UMESHINDA
Katafute wa kumuongopea. Mara mnaamini Quran ikishushwa, wakati Kuna watu wanaandika. Na hapa tena unataka kutufunga kamba kuwa uislamu nao ulishushwa. Wacha ujinga huo weweKwa taarifa yako uislamu uliingia Afrika mashariki kabla kuja waarabu .
Waarabu wa Oman walikuja miaka ya 1800 na walikuja baada ya wenyeji kwenda kuwaomba kuja kusaidia kuwatoa wareno ambao walizitawala kwa nguvu hizi sehemu. Kwa mfano wareno walikaa Pemba Karibu miaka 100 wakaazi wa Pemba walikuwa ni waislamu na wareno walishindwa kuwafanya wakristo mpaka walipokombolewa na waarabu wa Oman
Kitanuka sio mda 👇Kwani Zanzibar na Tanganyika bara ni Nchi za kiislamu? Mbona Rais anavaa Ushuñgi kila mara na Rais mwingine kasema Ijumaa na Mwaka wa kiislamu uwe siku ya Mapumziko?
Mimi Si Padri au mchungaji nikuongopee kuwa binaadamu anayekula na kunya na kujamba kuwa ni mungu wako.Katafute wa kumuongopea. Mara mnaamini Quran ikishushwa, wakati Kuna watu wanaandika. Na hapa tena unataka kutufunga kamba kuwa uislamu nao ulishushwa. Wacha ujinga huo wewe
Nani alikudanganya? Mbona wachungaji na makanisa yanapinga siku zote kuwekwa kipengele cha dini ya mtu kwenye sensa na Waislamu ndio wanapigania kuwepo ?Sio kenya tu hata Tanzania kura zikipigwa kwa mlengo wa dini hakuna muislamu atashinda Urais huo ndio ukweli