Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

Kwani Zanzibar na Tanganyika bara ni Nchi za kiislamu? Mbona Rais anavaa Ushuñgi kila mara na Rais mwingine kasema Ijumaa na Mwaka wa kiislamu uwe siku ya Mapumziko?
 
Kwani wakaazi wa mwanzo Zanzibar na Lamu, Kenya na Pwani ya Tanganyika kabla kuja mwarabu walikuwa na dini gani ?

Walikuwa na dini zao za kimila. Kila jamii ilikuwa na utaratibu wake wa kuabudu kabla ya wazungu na waarabu kuja africa.

Ukristo na uislamu umeletwa africa na wakoloni . Kabla wakoloni hawajaja hizi dini hazikuwepo katika nchi zetu
 
Sasa niambie mwarabu alikuja mwaka gani na ni sababu gani ilimfanya kuja huku
 
Huwa sijibu maswali yasiyokuwa na msingii.. maana unataka tukeshe tunachat kama watoto wa shule
Nilijua tu utakimbia swali kwani hapo ndio Mwisho wako.

Hata hivyo unaweza kuchungulia kwenye Google nimekuruhusu
 
Sitaki hata google. Nimekupa ushindi. Sina muda wa kuchati chati. Maana hata nikijibu utauliza lingine mpaka kukuche.

UMESHINDA
 
Kwa taarifa yako uislamu uliingia Afrika mashariki kabla kuja waarabu .
Waarabu wa Oman walikuja miaka ya 1800 na walikuja baada ya wenyeji kwenda kuwaomba kuja kusaidia kuwatoa wareno ambao walizitawala kwa nguvu hizi sehemu. Kwa mfano wareno walikaa Pemba Karibu miaka 100 wakaazi wa Pemba walikuwa ni waislamu na wareno walishindwa kuwafanya wakristo mpaka walipokombolewa na waarabu wa Oman
 
Katafute wa kumuongopea. Mara mnaamini Quran ikishushwa, wakati Kuna watu wanaandika. Na hapa tena unataka kutufunga kamba kuwa uislamu nao ulishushwa. Wacha ujinga huo wewe
 
Kwani Zanzibar na Tanganyika bara ni Nchi za kiislamu? Mbona Rais anavaa Ushuñgi kila mara na Rais mwingine kasema Ijumaa na Mwaka wa kiislamu uwe siku ya Mapumziko?
Kitanuka sio mda 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220917-090918.png
    Screenshot_20220917-090918.png
    263.4 KB · Views: 3
😁😁😁😁 Moto umeanza kuwaka huko 👇
 
Attachments

  • 20220916_160830.jpg
    20220916_160830.jpg
    94.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220917-090918.png
    Screenshot_20220917-090918.png
    263.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220917-091018.png
    Screenshot_20220917-091018.png
    244.1 KB · Views: 3
Sio kenya tu hata Tanzania kura zikipigwa kwa mlengo wa dini hakuna muislamu atashinda Urais huo ndio ukweli
 
Katafute wa kumuongopea. Mara mnaamini Quran ikishushwa, wakati Kuna watu wanaandika. Na hapa tena unataka kutufunga kamba kuwa uislamu nao ulishushwa. Wacha ujinga huo wewe
Mimi Si Padri au mchungaji nikuongopee kuwa binaadamu anayekula na kunya na kujamba kuwa ni mungu wako.
Hamna mahali nimeandika uislamu ulishushwa, punguza chuki usome vizuri nilichoandika
 
Sio kenya tu hata Tanzania kura zikipigwa kwa mlengo wa dini hakuna muislamu atashinda Urais huo ndio ukweli
Nani alikudanganya? Mbona wachungaji na makanisa yanapinga siku zote kuwekwa kipengele cha dini ya mtu kwenye sensa na Waislamu ndio wanapigania kuwepo ?
 
Back
Top Bottom