Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, Hivi ile Kesi ya Elizabeth Michael au Lulu ya mwaka 2012 iliisha?
Au Kama bado ipo, nini kinachelewesha hukumu yake?
Nahisi ile kesi walimalizana kifamilia pia mama kanumba itakuwa alikatiwa kitita cha kuridhisha cha pesaWajuzi wa mambo naomba mnisaidie, hivi ile kesi ya Elizabeth Michael au Lulu ya mwaka 2012 iliisha?
Au kama bado ipo, nini kinachelewesha hukumu yake?
kesi ile ushahidi ulikosekana
walionaUshahid ulikosekana??Maiti ya kanumba tu ni ushahidi tosha au hawakuiona?..