Hivi kesi ya Lulu iliisha au?

Hivi kesi ya Lulu iliisha au?

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,192
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, hivi ile kesi ya Elizabeth Michael au Lulu ya mwaka 2012 iliisha?

Au kama bado ipo, nini kinachelewesha hukumu yake?
 
Labda iliisha, wananchi hutupendi yule binti afungwe kwa sababu inaonekana ilikuwa bahati mbaya
 
Mbunge wa Kule kwa wajeda aliingilia kumuokoa nadhani kisheria.
 
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, Hivi ile Kesi ya Elizabeth Michael au Lulu ya mwaka 2012 iliisha?
Au Kama bado ipo, nini kinachelewesha hukumu yake?

Mtuhumiwa mwenyewe anabadili mabwana tu huko mtaani aagh na tuseme tu imeisha..
 
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, hivi ile kesi ya Elizabeth Michael au Lulu ya mwaka 2012 iliisha?

Au kama bado ipo, nini kinachelewesha hukumu yake?
Nahisi ile kesi walimalizana kifamilia pia mama kanumba itakuwa alikatiwa kitita cha kuridhisha cha pesa


Ila ubaya wa lulu kwa sasa anaongea maneno ya karaha sana kuhusu mama kanumba jambo ambalo sio la kiungwana.
 
Wewe hujasikia ile audio clip ya yule former member wa freemason kuwa kanumba hajafa sasa kuna kesi hapo?
 
Back
Top Bottom