johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe.
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya Mbowe ni ya kimataifa au ni ya kimkoa kama ile ya DC mstaafu Ole sabaya?