Tumbiliwaulaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 280
- 435
Sawa kwani wasiwasi wako ni nin? si mmesema ushahidi upo tele wala hamja bambika mtu safari hii! kwanza kwa kuwa serikali inatuhumiwa na umma kubambika ingefaa for the public interest the case should be televised.Hivi kwanza hao Wazungu hapo Mahakamani wanakuja Kama Diplomatics au wanakuja Kama Wakazi wa DAR!? Maana sizani Kama Mkataba wa Vienna unaruhusu haya wanayoyafanya, maana sisi Watanzania haturuhusiwi hata kingia kwenye majengo yao yaliopo hapa Nchini kwetu bila ruhuksa yao, maana pale panaisibika kua siyo Tanzania!!