johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni yakimataifa John,kama mbambikiaji alijua niyahapa hapa basi aliwaingiza chaka mbaya.Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya Mbowe ni ya kimataifa au ni ya kimkoa kama ile ya DC mstaafu Ole sabaya?
Rekebisha hapo kwenye Dc mstaafuNimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya Mbowe ni ya kimataifa au ni ya kimkoa kama ile ya DC mstaafu Ole sabaya?
Kitaifakesi ya Mbowe ni ya kimataifa au ni ya kimkoa
Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya Mbowe ni ya kimataifa au ni ya kimkoa kama ile ya DC mstaafu Ole sabaya?
DC aliyetumbuliwa!Rekebisha hapo kwenye Dc mstaafu
Nimeona wazungu kibao nikajua na Tundu Lisu kaja!Ni kesi ya kichato Bwashee.
Nadhani ugaidi wa kisiasa ni tofauti kidogo hata Taliban wanakaribia kuitwaa Afghanstan!Suala la ugaidi likitokea popote diniani Ni lazima li raise international attention. Asichokijua Siro na CCM wenzake ni kwamba wanadhani wanamshughulikia Mbowe kwa kumbambikizia kesi ya uongo, lakini madhara yake kimataifa Ni makubwa kwa nchi.
Hivi wawekezaji anaotafuta Mama Samia wakisikia Tanzania Kuna ugaidi watakuja?
... linapotajwa neno "gaidi" au "ugaidi" mabeberu are very concerned! Ni wapumbavu tu ndio wanaweza kufanya mchezo na tuhuma za aina hiyo; very senior officer anaropokaropoka tu bila kujua au kujali athari za matamshi yake! Mna options nne, kuthibitisha ugaidi wa Mbowe; kubadili mashtaka; kumwachia huru; au kuendelea kucheza danadana forever! Choose whatever option that suits you!Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya Mbowe ni ya kimataifa au ni ya kimkoa kama ile ya DC mstaafu Ole sabaya?
Ni ya kimataifa.Wanaitumia kama case study ya ulevi wa madaraka unaombatana na kufinya demokrasiaNimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya Mbowe ni ya kimataifa au ni ya kimkoa kama ile ya DC mstaafu Ole sabaya?
... hawa viazi utawaweza?Suala la ugaidi likitokea popote diniani Ni lazima li raise international attention. Asichokijua Siro na CCM wenzake ni kwamba wanadhani wanamshughulikia Mbowe kwa kumbambikizia kesi ya uongo, lakini madhara yake kimataifa Ni makubwa kwa nchi.
Hivi wawekezaji anaotafuta Mama Samia wakisikia Tanzania Kuna ugaidi watakuja?
Nimeona wazungu kibao nikajua na Tundu Lisu kaja!
Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya Mbowe ni ya kimataifa au ni ya kimkoa kama ile ya DC mstaafu Ole sabaya?
... the best case ever! Kesi ya kigaidi ya kipumbavu zaidi kuwahi kutokea duniani ni hii. Eti gaidi ameshindwa kutokea mahakamani kwa sababu vyombo vya usafiri ni vibovu; ha ha ha! Kama majinga fulani!Ni ya kimataifa.Wanaitumia kama case study ya ulevi wa madaraka unaombatana na kufinya demokrasia
Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya Mbowe ni ya kimataifa au ni ya kimkoa kama ile ya DC mstaafu Ole sabaya?
Mnachekesha kwa kumtetea Mbowe kwa vitisho vya uwekezaji. Nimeshasema mahali pengine humu, mwekezaji real akinusa maslahi sehemu hawezi kutishwa na power plays za wanasiasa.Suala la ugaidi likitokea popote diniani Ni lazima li raise international attention. Asichokijua Siro na CCM wenzake ni kwamba wanadhani wanamshughulikia Mbowe kwa kumbambikizia kesi ya uongo, lakini madhara yake kimataifa Ni makubwa kwa nchi.