johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Nakumbuka yule mchaga wa Kimara aliyekamatwa baada ya ubalozi wa Marekani kulipuwa.Ukisema mtu ni gaidi,unategemea nn? Asa wenzako wakisikia neno gaidi linawashtuaz, wanawaza Saadam Hussein,Bin Laden,Al Baghdadi et al...bado wajamaa Wana balozi zao hapa tena nyingine ziliwahi kulipuliwa 1999 hapahapa Tz,Lazima waje kutazama
Wewe unapandwa na Robert Amsterdam!!Mbona hamjatumia jina beberu kwenye pesa za afya au chanjo sasa mnatumia kwa Mbowe! Kama unapandwa na beberu usi ingize watu wengine
Huyu ni Mnyalu wa Mloo huko!! Ukifika eneo la Tanangozi pale Iringa, unaingia kilomita kama 200 hivi ndani!Kwani nchi hii mbona Wazungu wako wengi tu Bwashee? Unaishi wapi huko huwaoni Wazungu? kasulu!? 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaaaa....... Kumbe ni hawa hawa Wazungu wawili wa Msimbazi!Kwani nchi hii mbona Wazungu wako wengi tu Bwashee? Unaishi wapi huko huwaoni Wazungu? kasulu!? 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaaaa...... huku hatuijui mbege bwashee!Huyu ni Mnyalu wa Mloo huko!! Ukifika eneo la Tanangozi pale Iringa, unaingia kilomita kama 200 hivi ndani!
Hata Mzee Mgaya nae anaishi huko huko! Ukiwakuta mchana kutwa wako njwiii kutokana na Ulanzi na Komoni!!
Hata wewe!.Ni ya kimataifa.Wanaitumia kama case study ya ulevi wa madaraka unaombatana na kufinya demokrasia
Duuh... Umewaza mbali sana mkuu.!Hivi kwa mfano Mbowe akifia mahabusu. Je Rais atatuma salamu za pole kwa familia ya “Gaidi”?
Nini mama mdogo?Hata wewe!.
Chadema Hakainde Hichilema
(Chadema Isiende CCM).
Obvious! Yess!! Na Msiba atashiriki pia!! Umeuliza swali la kitoto sana!!Hivi kwa mfano Mbowe akifia mahabusu. Je Rais atatuma salamu za pole kwa familia ya “Gaidi”?
Lissu mjanja anajua akija atauunganishwa kwenye Mashitaka!!Nimeona wazungu kibao nikajua na Tundu Lisu kaja!
Wewe kipenzi cha Serikali dhalimu! unamtetea Mbowe?. Nakujua vizuri msimamo wako.Nini mama mdogo?
Political stability inasaidia sana kwenye uwekezaji.Kumbuka 1998 ubalozi wa Marekani Tanzania ulilipuliwa na magaidi wa Osama, mtanzania mmoja Ghailani alikamatwa, sasa unapotaja gaidi na unashindwa kumpeleka mahakamani kwa sababu za kitoto hauna usafiri wa kumpeleka mahakamani ni utoto, dunia haiwezi kukuelewa? Gaidi asafirishwe toka mwanza hadi dar, ushidwe kumsafirisha kutoka ukonga to kisutu , huo ni utoto kabisa?Mnachekesha kwa kumtetea Mbowe kwa vitisho vya uwekezaji. Nimeshasema mahali pengine humu, mwekezaji real akinusa maslahi sehemu hawezi kutishwa na power plays za wanasiasa.
Kesi ya ugaidi ya Mbowe ni power play. Hata Marekani ana list yake ya nchi inazoziita "terror list countries". Humweka kwenye hiyo list wanayetaka kumweka na humwondoa wanayetaka kumwondoa. Ushawahi kuona nchi nyingine zimekataa kufanya biashara au kuwa na mahusiano na hizo nchi zilizo kwenye terror list ya mmarekani. No! nchi zote duniani know kwamba my enemy is not necessarily your enemy.
Mbowe anaweza au asiwe na kesi kuhusu ugaidi wake anaotuhumiwa. Bado hajawa mtakatifu Mbowe. Tusubiri mahakama.
Kesi hii ni ya kitaifa na kimataifaNimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe.
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya Mbowe ni ya kimataifa au ni ya kimkoa kama ile ya DC mstaafu Ole sabaya?
Mimi sifungamqni na upande wowote.Natetea kauli ya mama kuwa waliobambikiziwa kesi za kisiasa waachiwe.Wewe kipenzi cha Serikali dhalimu! unamtetea Mbowe?. Nakujua vizuri msimamo wako.
Hujasikia kwamba Tanzania is the most stable eastern African country politically?Political stability inasaidia sana kwenye uwekezaji.Kumbuka 1998 ubalozi wa Marekani Tanzania ulilipuliwa na magaidi wa Osama, mtanzania mmoja Ghailani alikamatwa, sasa unapotaja gaidi na unashindwa kumpeleka mahakamani kwa sababu za kitoto hauna usafiri wa kumpeleka mahakamani ni utoto, dunia haiwezi kukuelewa? Gaidi asafirishwe toka mwanza hadi dar, ushidwe kumsafirisha kutoka ukonga to kisutu , huo ni utoto kabisa?
weh, hamna bwana ulisimamishwa kupisha uchunguzi na baadae kesi bado ni mwajiriwa wa umma hadi hukumu amabyo ni sawa endapo hatapatikana na hatia anapaswa kulipwa mishahara yake yote hadi siku ya hukumu,serikari itabidi imstaafishe au kumpa majukumu mengine. kimsingi bado ni mtumishi wa umma ila sio mkuuwa wilaya.DC aliyetumbuliwa!
Hivi kwanza hao Wazungu hapo Mahakamani wanakuja Kama Diplomatics au wanakuja Kama Wakazi wa DAR!? Maana sizani Kama Mkataba wa Vienna unaruhusu haya wanayoyafanya, maana sisi Watanzania haturuhusiwi hata kingia kwenye majengo yao yaliopo hapa Nchini kwetu bila ruhuksa yao, maana pale panaisibika kua siyo Tanzania!!Nimeona wazungu kibao nikajua na Tundu Lisu kaja!