Hivi kijana unakaaje mjini halafu unakosa vitu hivi?


Ni Sahihi kabisa.
 
Kuna wadau walikosa hela ya Bure kabisa kwa mtu wa kawaida ambayo haina hata kutoka jasho. Siku mbili tu za wiki ndio za kazi. Wakakosa namba ya Nida na line zilizosajiliwa kwa Majina yao.mchezo ukaisha hapo.
Nida✔️
Lesen✔️
Social media❌❌(LinkedIn nlifuta akaunti)
Voters Id❌❌❌
Refferees✔️
Passport niltaka Kuanza process nkaona kama nitasumbuka kidogo kufuatilia ilhali sina safari ya karibuni kuvuka boda.
 
Unapaamini sana mjini. Basi hivyo ulivyoandika wa kijijini ndik akazane kuwa navyo
 
Anajieleza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…