Hivi kila shabiki wa Yanga akachanga Tsh. 1,000 tu, timu haipati Tsh. Bilioni 1 na ushee?

Hivi kila shabiki wa Yanga akachanga Tsh. 1,000 tu, timu haipati Tsh. Bilioni 1 na ushee?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Yanga yenye kauli mbiu ya Daima mbele, Kurudi nyuma mwiko, Why tushindwe kuichangia Klabu yetu isajili wachezaji bora?
 
Mashabiki wengi hawawajibiki wao ni kulalamika tu
 
Yaani mfumo wa club, wanachama 51 na mwekezaji ni 49, hii ipo kote simba na yanga ila sasa hela zote tunataka atoe mwekezaji sisi tutoe lawama tu
 
Back
Top Bottom