Mkuu sidhani kama wanafikaga hadi chalinze na kibaha maana kwa Dar hao madogo mara nyingi hutokeaga upanga, kinondoni, ilala & k/koo.
Japo kuna kuwepo na madogo wakiswahili but wengi wao ni madogo wakihindi koko, warabu koko na wakisomali koko.
Huwa wanafanya "illegal racing" kwa kutumia pikipiki au magari.
Hupendelea zaidi morogoro road, A.H road, bagamoyo road, nyerere road, mandela road pia sometimes wanazunguka street roads za hapa city center.
Hizi racing battle hufanyikaga hasa weekend midnight pindi jiji limepoa na hakuna foleni.