Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

Kuanzia mataa Ubungo hadi Kibaha...[emoji15] [emoji15]
Yaani unawezaje kusikia kelele za hicho chenye unakiita "kigari", all the way from Ubungo to Kibaha....!!??[emoji53] [emoji53]
Mbona mna muandama, anaeza akawa ni boda boda au dereva wa daladala kwa hiyo anakua na fursa ya kupishana au kukimbizana na hiko "kigari"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kuna kigari sijui ni alteza sijui ni subaru ikifika mda wa saa sita unusu hadi tisa hivi usiku wa manane huko barabarani kuna kigari hua kinapiga kelele sana zile za mufler/exousity
Hivi huyu mwenye hicho kigari au dereva mda huo anakuwa anachezea hicho kigari kwa kuwa mda huo barabara inakuwa free kwa maana kwamba matrafiki hawapo au kwa kuwa mda huo babrabar ina kuwa nyeupe ndo anachezea anavyotaka..
Jitahidi uwe unalala au ujiweke busy mchana ili usiku ulale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mna muandama, anaeza akawa ni boda boda au dereva wa daladala kwa hiyo anakua na fursa ya kupishana au kukimbizana na hiko "kigari"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, samahani kwa kuuliza maswali yenye mshangao.
Ebu ngoja tuwaache wa Daslam wapambane na hicho "kigari"...tehteehh
 
Mkuu na wewe kisikilizie usiku, kinaeza kikawa kinapita mpaka mtaa wako. Kuna jamaa amesema amekisikia na yeye yupo Toronto..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mkuu, nami nilikisikia huku Ushirombo.
Tena kulikuwa kinasumbua sana kuanzia maeneo ya Lyambamgongo hadi Katente....tehteehh [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom