Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza?

Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza?

Ikitokea mwanza itakua ni kisanga
images (9).jpeg
images (10).jpeg
images (11).jpeg
 
Labda mawe yapigwe na radi kubwa ya mvua ndio yanaweza leta madhara sehemu ndogo ya eneo, ila kushiba maji sio rahisi sbb mawe yapo hadi chini sana kwa hayo ya milimani
 
Pale Bismarck rock gavana Bismarck alileta njemba Zilizo shiba zilivute jiwe la juu lidondoke zikashindwa akaishia kuyaita hayo mawe Bismarck rock hayo mengine sijui
Hizo njema zilisimama upande gani ili kulivuta hilo jiwe, au zamani halikuwa limezungukwa na maji?
 
Back
Top Bottom