love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Bahati mbaya huwa siangalii television.Itakuwa kwa mujibu wa Safari channel
Naona unaweza kuwa mtabiri mzuri ukipata kaniki nyekundu na nyeusi na kibuyu kimoja.
Narrow minded wahedi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya huwa siangalii television.Itakuwa kwa mujibu wa Safari channel
Watabiri ndo wanavaa hivo! Washirikina mna mbinu kali sana za kujitambulisha.Bahati mbaya huwa siangalii television.
Naona unaweza kuwa mtabiri mzuri ukipata kaniki nyekundu na nyeusi na kibuyu kimoja.
Narrow minded wahedi
Mkuu naona umeamua kunitukana kabisaAskari wa Zelensky mna hasira muda wote.
Kuna kale kajiwe kadogo kamebeba jiwe kubwa halafu lipo offset ni balaa.Mbili, huo Mkoa ni Mkoa wa Kichifu jiulize ni mechanism gani iliyotumika kusimamisha JIWE juu ya JIWE.
Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza? Itakuwaje na ile milima ya mawe?
Mkuu sina uhakika na hilo kama kweli aliita watu walivute,, ila kama hata saizi mkitaka kulivuta inawezekana sababu pale juu kuna sehemu kubwa tu ya kuweza kukaa watu hata 7 na zaidi ila kama ukiona kwenye picha huwezi kuona nafasi ila ukienda pale ni pakubwa.Hizo njema zilisimama upande gani ili kulivuta hilo jiwe, au zamani halikuwa limezungukwa na maji?
Nako huko kuna milima ya mawe kama Mwanza? Nimetolea mfano Mwanza kwsababu baada ya kuangalia madhara yaliyotokana na maporomoko ya udongo mlima Hanang na Kule Mbeya ingekuwaje kama yale maporomoko yangehusisha mawe makubwa kama yaliyoko Mwanza.Kwa nini Mwanza tu, siyo Morogoro, Mwanga, Kilosa, Kibaigwa au kokote kwenye milima kama Igunga, Sheluhi, Mikese au Salanda huko?