Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza?

Bahati mbaya huwa siangalii television.
Naona unaweza kuwa mtabiri mzuri ukipata kaniki nyekundu na nyeusi na kibuyu kimoja.
Narrow minded wahedi
Watabiri ndo wanavaa hivo! Washirikina mna mbinu kali sana za kujitambulisha.
 
Hayo mawe yapo mpaka chini sio juu ya udongo, huko Mwanza semehu tambarare tu kichimba shimo la choo mchimbaji anakwambie achimbe kwanza aone pakoje ndio mpatane bei maana akipatania juu chini akikuta mwamba imekula kwake.
 
Hizo njema zilisimama upande gani ili kulivuta hilo jiwe, au zamani halikuwa limezungukwa na maji?
Mkuu sina uhakika na hilo kama kweli aliita watu walivute,, ila kama hata saizi mkitaka kulivuta inawezekana sababu pale juu kuna sehemu kubwa tu ya kuweza kukaa watu hata 7 na zaidi ila kama ukiona kwenye picha huwezi kuona nafasi ila ukienda pale ni pakubwa.
 
Kwa nini Mwanza tu, siyo Morogoro, Mwanga, Kilosa, Kibaigwa au kokote kwenye milima kama Igunga, Sheluhi, Mikese au Salanda huko?
Nako huko kuna milima ya mawe kama Mwanza? Nimetolea mfano Mwanza kwsababu baada ya kuangalia madhara yaliyotokana na maporomoko ya udongo mlima Hanang na Kule Mbeya ingekuwaje kama yale maporomoko yangehusisha mawe makubwa kama yaliyoko Mwanza.


ab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…