Hii ndiyo mikopo ya kuwekeza kwenye vikoba vya vijana badala ya kuwakopesha bodaboda. Pia elimu ya ukulima bora, kwa mafanikio inabidi kuwekeza kwenye nguvu kazi ya vijanaTatizo tunafanya kilimo kwa mazoea, Kuna wakulima wanafanya large scale lakini huwaambii kitu kuhusu kuacha jembe la mkono na hela ya kununua agro machines wanazo. Nimeona maonesho ya 8-8 sh mil 100 unapata planter, sprayer, harvester, majembe ya kulima matuta , kupalilia etc machines zote zina range 10-20m