hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niwe muwazi katika hili " hapana ... ila natarajia kuanza kufanya mwaka huu " ..
Ok.Niwe muwazi katika hili " hapana ... ila natarajia kuanza kufanya mwaka huu " ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitunguu maji kwa sababu " Nimefanya research ambayo -majibu yake yanaonyesha kuwa vinalipa " licha ya hivyo tayari nina uwezekano wa kupata soko lake kwa haraka na wepesi " kupitia jamaa zangu ambao wanaifanya biashara hiyo pale mabibo " sokoni .. so walinisaidia kunipatia ABC zake kadhaa kuhusu kilimo hicho na kwakweli hizo taarifa zimenivutia ...
Umejibu vizuri na kwa usahihi.Vitunguu maji kwa sababu " Nimefanya research ambayo -majibu yake yanaonyesha kuwa vinalipa " licha ya hivyo tayari nina uwezekano wa kupata soko lake kwa haraka na wepesi " kupitia jamaa zangu ambao wanaifanya biashara hiyo pale mabibo " sokoni .. so walinisaidia kunipatia ABC zake kadhaa kuhusu kilimo hicho na kwakweli hizo taarifa zimenivutia ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye swali la kwanzaUmejibu vizuri na kwa usahihi.
-Je umefanya tafiti zako binafsi zinazoendana/concention na taarifa/data za jamaa zako.
-Je wanachokuhakikishia utakipata ndicho walichonacho au wanayo ziada?.
-Kipi haswa kinakufanya usadiki maneno yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
maharage aina gani ni vizuri kuyalima mvua za mwishoni?mradi ulime mwisho wa mvuA😊
yale meupe au njano..lima kuanzia wa 4 mwishonmaharage aina gani ni vizuri kuyalima mvua za mwishoni?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu gunia la mahindi tsh 18000-40000/= sasa naomba nikwambie ukweli kuwa angalia kilimo kingine sio mahindi maana utajinyonga mwakani mwezi kama huu
Je hao jamaa zako ni madalali?! Kama ni madalali badili uelekeo fastaa!Hapo kwenye swali la kwanza
(A) jibu ni ndio ..
Kwenye swali la pili
(B) nipo kwenye process ya kukutanishwa na mzee 1 hivi ambaye anafanya aina ya hicho kilimo na amefanikiwa kwakiasi chake " katika hicho kilimo " nilikuwa nahitaji kuonana nae ili aweze kunipa hints kadhaa " ambazo zitakuwa kama Final decision kwangu " ya kuamua kuanza rasmi au la "
Mtu ambaye anakusudia kunikutanisha na huyo mzee ni my uncle " so I hope " mambo yatakwenda vyema " na mimi kuweza kunufaika na ushauri wake " kwa sababu ni watu ambao wana fahamiana na kuheshiana pia ....
So if kuna ushauri wowote ambao unao " naomba unipatie pia . Nitaufanyia kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani haya ya njano ndo naweza.yale meupe au njano..lima kuanzia wa 4 mwishon
Shost uko kwenye kilimo cha maharage?yale meupe au njano..lima kuanzia wa 4 mwishon
HahahahaaaaaaaaSiku atakapoambiwa na jeshi aonyeshe aliko lima mpunga usisahau kumsaidia mkuu.
Nadhani haya ya njano ndo naweza.
Haya ya njano kuna changamoto zozote katika ulimaji wake?
Je,ni kwanini unashauri mkulima alime mvua za mwishoni?