Hivi kilimo kitanitoa au nitaangamiza pesa?

Ok.

-Kwanini vitunguu maji na kwanini wakati huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitunguu maji kwa sababu " Nimefanya research ambayo -majibu yake yanaonyesha kuwa vinalipa " licha ya hivyo tayari nina uwezekano wa kupata soko lake kwa haraka na wepesi " kupitia jamaa zangu ambao wanaifanya biashara hiyo pale mabibo " sokoni .. so walinisaidia kunipatia ABC zake kadhaa kuhusu kilimo hicho na kwakweli hizo taarifa zimenivutia ...

Umejibu vizuri na kwa usahihi.

-Je umefanya tafiti zako binafsi zinazoendana/concention na taarifa/data za jamaa zako.

-Je wanachokuhakikishia utakipata ndicho walichonacho au wanayo ziada?.

-Kipi haswa kinakufanya usadiki maneno yao?

Hapo kwenye swali la kwanza
(A) jibu ni ndio ..

Kwenye swali la pili
(B) nipo kwenye process ya kukutanishwa na mzee 1 hivi ambaye anafanya aina ya hicho kilimo na amefanikiwa kwakiasi chake " katika hicho kilimo " nilikuwa nahitaji kuonana nae ili aweze kunipa hints kadhaa " ambazo zitakuwa kama Final decision kwangu " ya kuamua kuanza rasmi au la "

Mtu ambaye anakusudia kunikutanisha na huyo mzee ni my uncle " so I hope " mambo yatakwenda vyema " na mimi kuweza kunufaika na ushauri wake " kwa sababu ni watu ambao wana fahamiana na kuheshiana pia ....

So if kuna ushauri wowote ambao unao " naomba unipatie pia . Nitaufanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu gunia la mahindi tsh 18000-40000/= sasa naomba nikwambie ukweli kuwa angalia kilimo kingine sio mahindi maana utajinyonga mwakani mwezi kama huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo kwenye swali la kwanza
(A) jibu ni ndio ..

Kwenye swali la pili
(B) nipo kwenye process ya kukutanishwa na mzee 1 hivi ambaye anafanya aina ya hicho kilimo na amefanikiwa kwakiasi chake " katika hicho kilimo " nilikuwa nahitaji kuonana nae ili aweze kunipa hints kadhaa " ambazo zitakuwa kama Final decision kwangu " ya kuamua kuanza rasmi au la "

Mtu ambaye anakusudia kunikutanisha na huyo mzee ni my uncle " so I hope " mambo yatakwenda vyema " na mimi kuweza kunufaika na ushauri wake " kwa sababu ni watu ambao wana fahamiana na kuheshiana pia ....

So if kuna ushauri wowote ambao unao " naomba unipatie pia . Nitaufanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Je hao jamaa zako ni madalali?! Kama ni madalali badili uelekeo fastaa!
 
Nadhani haya ya njano ndo naweza.
Haya ya njano kuna changamoto zozote katika ulimaji wake?
Je,ni kwanini unashauri mkulima alime mvua za mwishoni?

maharage yakipata mvua nyinh yanaoza..sana sana utaambukia debe 1..yanataka mvua chache zile za mwisho
 
Back
Top Bottom