Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Chukulia Tukio la Mdude, mlango umevunjwa, Wamempiga, lazima Kuna traces walizoacha .
Mzee Kibao , Sativa , KITIMA na wengineo ambao walipatikana wakiwa hai au Kufa.
SIJAWAHI ONA KWENYE MITANDAO POLISI WA TANZANIA , KITENGO CHA FORENSIC ,WAKIFANYA KAZI.
Sana sana, watafika, wabebe mwili, waubwage Hosp, Daktari aandike report ya kuthibitisha Kifo , basi ,inaisha !!.
Ila uhakika ni kua, wako macho Masaa 24 kufatilia Watumiaji wa mitandao wamepost nn, na wako wapi !!.