Hivi kitimoto huwa inafaa kutengenezewa mishikaki?

Alhamdullilah sheikh...
 
Mshikaki upo tena mtamu balaaaaaaa achana na mdudu,mafuta sio sehemu inayotengenezewa mshikaki
 
MBONA EASY TU MKUU
 
sehemu yeyote ile ya kunguwe inachomwa tu namoto, ukija mafinga hapa kuna sehemu tunakula kitimoto ya kuchomwa ambayo inakuwa kunasehemu ya mafuta na nyama yekundu na inakuwa imeiva vizuri tu, tatizo ni kwamba usiweke moto mwingi wakati wa kuichoma yaani inaiva polepole hakuna mafuta wala nini vyote vinaiva vizuri
 
Ipo sehemu nyingi tu.. kuna baa inaitwa family bar pale tegeta karibu na kibo ipo..
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sio kitimoto tu kitamu.Vitu vyote vya haramu watumiaji yanasema vitam.Mfano:-madawa ya kulevya,pombe,uzinzi,kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile...

Acha uongo mkuuu.kiti moto haiko katika kundi la vitu haramu.
 
We mwenyewe mla kitimoto tu sema hupendi ya mafuta.
 
Eti wabillah Tawfiq watu wengine mkiitwa wachokozi mtakataa,na mkitukanwa mtaona watu sio wastaarabu.Hapo umefanya makusudi tena kwa kidhamiria kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…