johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mahita mahakamani kasema anasachiwaNauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme.
Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa inakuwa Wanawake kwa wanawake na Wanaume kwa Wanaume.
Sabato njema!
Jibu analo ndugu yako afande Mahita mdogo.Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme.
Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa inakuwa Wanawake kwa wanawake na Wanaume kwa Wanaume.
Sabato njema!
Uandishi wa kinjago!Duuu kada mahiri naye anauliza swali hili la policeccm,kweli dunia inakwenda kasi mno!elewa pia kwa wanakojielewa unaweza kukataa mpaka mwanasheria wako awepo
Hawa washahidi wa kubumba imekula kwao, waliita wanawake kusachi wanaume, Kibatala anauliza, Hakukuwa na wanaume? Hairuhusiwi tena unashtakiwa.Mahita mahakamani kasema anasachiwa
Kwa mujibu wa polisi msomi wa degree ya sheria hiyo ina wezekana. Mwanamke kumpiga tero mwanaume. Na kinyume chake. Lakini kiutaratibu hiyo haipo kwenye Pgo zao.Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme.
Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa inakuwa Wanawake kwa wanawake na Wanaume kwa Wanaume.
Sabato njema!
Aibu tupu. Unakuwa na Padri asiyejua kanuni za Kanisa?Ila jeshi letu la polisi, hapana kabisa[emoji119]
HapanaNauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme.
Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa inakuwa Wanawake kwa wanawake na Wanaume kwa Wanaume.
Sabato njema!