Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kiuhalisia ndio anaweza sachiwa na askari wakiume, ila kiutaratibu hapana, hairuhusiwi kusachiwa na jinsia tofauti. Labda kukiwa na upungufu wa askari kwa wakati huo. Hapo tutarudi kwenye uhalisia sasa ambapo wote ni askari na wote wana mafunzo hayo.