Hivi Kiungo Zawadi Mauya Kuitwa Taifa Stars kumezingatia Ufundi au ni Kubalansi tu Usimba na Uyanga wetu ndani ya Taifa Stars?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kwanini asingeitwa Himid Mao Mkami au Said Ndemla au Majogolo au Salum Aboubakary kuchukua nafasi ya Kiungo Punda Muzamiru Yasin Said Selemba na akaitwa Kiungo Mbovu na Mvivu Zawadi Mauya kutokea Yanga SC?

Kwahiyo Mauya ameitwa Taifa Stars kwakuwa aliifunga Simba SC mwaka huu au?

Huu Usimba na Uyanga ndiyo unalimaliza Soka la Tanzania na Kesho tena nashangilia Benin.

Mpaka Kikosi cha Taifa Stars kikiwa hakina Wachezaji wengi wa Simba na Yanga na kikiwa na Wachezaji wa Timu zingine na wakiwa wanapata pia namba ndiyo Mightier nitaanza Kuishangilia.

Nasema tena Kesho naishangilia Benin na nataka Taifa Stars tufungwe ili tukome na huu Usimba na Uyanga wetu.
 
Hajamuongelea pia yule mkimbizi mwenye mwili mkubwa akili kisoda
Hujamuongelea pia Beki Nondo ambaye kila mara akikimbia Uwanjani Makalio yake yanalegea mpaka anashindwa Kukaba na Kutufungisha?
 
Mbona humsemi Feisal Salum ( Fei Toto ) ambaye hana anachokifanya na Kazi ni Kurukaruka tu huku akijilamba Mdomo na Kurembua Macho kama wale Wanaume Mwendo wa Magomeni kwa Macheni?
Feisal yupi huyo tena unayemzungumzia? maana mimi navyojua Feisal Salum feitoto alifanya kazi ya ziada kubadilisha mechi iliyotaka kuisha kwa sare akatupia goli. Ingekuwa kufunga kazi rahisi Boko na Msuva wangefunga walipopata zile chance.
 
Umeongea kishabiki zaidi, bado na ww unatafunwa na usimba na uyanga vilevile
 
Daahhh huu UYANGA & USIMBA Ni moja kati dhambi zilizokita mizizi nchi hii.
Nafananisha na u Ccm n so called upinzani .

Tuwaache mameneja walioenda shule wafanye kazi zao kitaaluma , na si nani anataka nini.

Uwezo wetu nchi za EAC ni mdogo sana hasa kwenye michezo ukiondoa Kenya & Ethiopia kwenye riadha . Vinginevyo tunajilisha dhana ya tamaa.
 
Umewahi kufundisha soka hata timu ya darasa la pili?...kama hujawahi heshimu maamuzi ya mtu aliesomea kazi yake....

kabla ya msimu huu Karim Benzema alikuwa haitwi timu ya taifa ila Giroud alikuwa hakosi.....mpira ni zaidi ya uwezo huwezi jua nidhamu za hao watu uwanjani na kambini
 
Pumbavu sijafundisha tu Soka ila kwa niliosoma nao na Kucheza nao katika Mashindano ya Shule na Ligi Daraja la Tatu bila Kumsahau Marehemu Ally Yusuf Tigana, akina Zubery Katwila, Gwakisa Mwandambo, Wycliff Keto, Renatus Njohole, Said Tuli na David Mihambo ukikutana nao waulize nilivyokuwa naupiga Beki Mbili, Beki Nne, Kiungo Mkabaji na Mshambuliaji namba Tisa.

Kwa Kukusaidia ule Ujuzi aliokuwa nao Marehemu Said Mwamba Kizota ( alias ) Baba Tosha wa Kupiga Vipepsi ( Viwiko ) vya Akili nimemfundisha Mimi ambapo baadae pia Mchezaji Emanuel Gabriel ( alias ) nae pia aliiga.

Mightier nikikuambia hujui Mpira jua hujui kweli na nikikuambia unajua jua unajua kweli sawa? Nina Jicho la Kujua Kipaji cha Mtu ndani ya dakika 5 tu akicheza Mpira ( Fabo ) sawa?

Mpaka leo nashangaa ni kwanini baadhi yenu mnamsifia Feisal Salum ( alias ) Fei Toto kuwa anajua Mpira wakati Mtaalam Mwenyewe nasema hajui Mpira wowote.

Fei Toto hajafikia hata 15% ya Uwezo aliokuwa nao Marehemu Godfrey Bonny au Frank Domayo au Athuman China au Khalid Aucho au Athuman Idi Chuji au Marehemu Method Mogella au Thabani Kamusoko au Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima.

Nikiwa nauongelea Mpira hapa JamiiForums tafadhali kaa tu Kimya sawa? Isingekuwa Mkwara wa Wazazi kutaka niachane na Soka na nijikite zaidi katika Elimu ( Taaluma ) leo Watanzania mngeniimba hata kuliko huyu Mbwana Samatta wenu.
 
Kwanini asingeitwa Himid Mao Mkami au Said Ndemla au Majogolo au Salum Aboubakary kuchukua nafasi ya Kiungo Punda Muzamiru Yasin Said Selemba na akaitwa Kiungo Mbovu na Mvivu Zawadi Mauya kutokea Yanga SC?

Kwahiyo Mauya ameitwa Taifa Stars kwakuwa aliifunga Simba SC mwaka huu au?

Huu Usimba na Uyanga ndiyo unalimaliza Soka la Tanzania na Kesho tena nashangilia Benin.

Mpaka Kikosi cha Taifa Stars kikiwa hakina Wachezaji wengi wa Simba na Yanga na kikiwa na Wachezaji wa Timu zingine na wakiwa wanapata pia namba ndiyo Mightier nitaanza Kuishangilia.

Nasema tena Kesho naishangilia Benin na nataka Taifa Stars tufungwe ili tukome na huu Usimba na Uyanga wetu.
We ndo umeongea kishabiki zaidi

Hivi huyu himid Mao nani alofwatilia maendeleo yake?
Himid alikua anaitwa timu ya taifa na amunike lakini hakuwai kuonyesha kiwango chochote cha tofauti na kipindi anacheza azam.

Ndemla wote tunajua kiwango kimeshuka kama sio kuisha kabisa, majogoro yuko kwenye majaribio misri huko.

Sure boy tushasikia msala wake hakuna kocha atayetaka mchezaji asiye na nidhamu.

Afafhali hata ungemtaja Ibrahim ndunguli wa biashara united maana ana kiwango bora sana kwasasa.
 
Pumbavu sijafundisha tu Soka ila kwa niliosoma nao na Kucheza nao katika Mashindano ya Shule na Ligi Daraja la Tatu bila Kumsahau Marehemu Ally Yusuf Tigana, akina Zubery Katwila, Gwakisa Mwandambo, Wycliff Keto, Renatus Njohole, Said Tuli na David Mihambo ukikutana nao waulize nilivyokuwa naupiga Beki Mbili, Beki Nne, Kiungo Mkabaji na Mshambuliaji namba Tisa.

Kwa Kukusaidia ule Ujuzi aliokuwa nao Marehemu Said Mwamba Kizota ( alias ) Baba Tosha wa Kupiga Vipepsi ( Viwiko ) vya Akili nimemfundisha Mimi ambapo baadae pia Mchezaji Emanuel Gabriel ( alias ) nae pia aliiga.

Mightier nikikuambia hujui Mpira jua hujui kweli na nikikuambia unajua jua unajua kweli sawa? Nina Jicho la Kujua Kipaji cha Mtu ndani ya dakika 5 tu akicheza Mpira ( Fabo ) sawa?

Mpaka leo nashangaa ni kwanini baadhi yenu mnamsifia Feisal Salum ( alias ) Fei Toto kuwa anajua Mpira wakati Mtaalam Mwenyewe nasema hajui Mpira wowote.

Fei Toto hajafikia hata 15% ya Uwezo aliokuwa nao Marehemu Godfrey Bonny au Frank Domayo au Athuman China au Khalid Aucho au Athuman Idi Chuji au Marehemu Method Mogella au Thabani Kamusoko au Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima.

Nikiwa nauongelea Mpira hapa JamiiForums tafadhali kaa tu Kimya sawa? Isingekuwa Mkwara wa Wazazi kutaka niachane na Soka na nijikite zaidi katika Elimu ( Taaluma ) leo Watanzania mngeniimba hata kuliko huyu Mbwana Samatta wenu.
popoma kwa mikwara aseeh
Sasa ng"ombe hawa umekuwaje ukawa unachunga?
 
Kwanini asingeitwa Himid Mao Mkami au Said Ndemla au Majogolo au Salum Aboubakary kuchukua nafasi ya Kiungo Punda Muzamiru Yasin Said Selemba na akaitwa Kiungo Mbovu na Mvivu Zawadi Mauya kutokea Yanga SC?

Kwahiyo Mauya ameitwa Taifa Stars kwakuwa aliifunga Simba SC mwaka huu au?

Huu Usimba na Uyanga ndiyo unalimaliza Soka la Tanzania na Kesho tena nashangilia Benin.

Mpaka Kikosi cha Taifa Stars kikiwa hakina Wachezaji wengi wa Simba na Yanga na kikiwa na Wachezaji wa Timu zingine na wakiwa wanapata pia namba ndiyo Mightier nitaanza Kuishangilia.

Nasema tena Kesho naishangilia Benin na nataka Taifa Stars tufungwe ili tukome na huu Usimba na Uyanga wetu.
Kesho hakika tutaibuka na ushindi maana aliyekuwa abazuia ushindi hachezi
 
Meneja canavaro kocha msaidizi nsajigwa tutashuhudia magarasa mengi ya utopolo maana yanalazimisha kupanda ndege baada ya kutolewa mapema
 
Back
Top Bottom