Hivi kocha Nabi kaenda leo: Haya siyo matokeo ya wananchi

Hivi kocha Nabi kaenda leo: Haya siyo matokeo ya wananchi

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Hivi kweli Yanga ndiyo timu ya kupata kagoli 1 tena baada ya wapinzani kupungua. Wakati hadi confederation CAF wanaijua. Alafu kocha Nabi hatumuoni kaenda wapi na kuiacha timu ikiwa taabani hivi. Kwa mwendo huu, yajayo ya Rivers United yatafurahisha
 
kwahiyo goli 10 ni point zile zile 3
na goli 1 bado point ni 3 sasa hapo unatakaje?
 
Huyo ni profesa wa majalalani tu
Hana tofauti na maji marefu nae ni profesa(mganga wa kienyeji) au kasheku msukuma na taletale
si kama juma bonge eti kujiita pep na lijinzi lake kubwa yaan mvuvi pale tanga kaokotwa leo eti pep mnene
 
Hivi kweli Yanga ndiyo timu ya kupata kagoli 1 tena baada ya wapinzani kupungua. Wakati hadi confederation CAF wanaijua. Alafu kocha Nabi hatumuoni kaenda wapi na kuiacha timu ikiwa taabani hivi. Kwa mwendo huu, yajayo ya Rivers United yatafurahisha
waydad aibu inaanzia dar
 
Ona naye huyu popoma, mechi za mtoano huwa hazina point bali ni idadi ya magoli.

Point hutumika kwenye ligi au makundi ya ligi.

Mpira mnaukimbilia ila hamuujui.
haya ndo madhara ya kupiga nyeto na mafuta ya kula
uwe unasoma na kuelewa kabla ya kuonesha upumbavu wako kuruta sawa?
mimi nimegusia michezo yetu iliyobaki mpaka ligi kuu kwamba hata moja tukishinda ni sawa sio fa tu
achana na ukuruta unakuharibu akili
 
Ona naye huyu popoma, mechi za mtoano huwa hazina point bali ni idadi ya magoli.

Point hutumika kwenye ligi au makundi ya ligi.

Mpira mnaukimbilia ila hamuujui.
Na wewe umejiona mjanja kweli kwa hii takataka uliondika hapa..
 
Wenye akili gongowazi ni wawili tu
Ficha aibu ya upumbavu wako..Kwan hata kama yanga ingeshinda kumi ndio nusu fainal ikitokea ikipigwa haitoki kwenye mashindano na kuendelea na fainali.
Kwakua ilimfunga mtu goli kumi,Jana ilikua inahitajika ushindi tu wowote mtu asonge hatua inayofuata.
 
Back
Top Bottom