BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
si kama juma bonge eti kujiita pep na lijinzi lake kubwa yaan mvuvi pale tanga kaokotwa leo eti pep mneneHuyo ni profesa wa majalalani tu
Hana tofauti na maji marefu nae ni profesa(mganga wa kienyeji) au kasheku msukuma na taletale
Pole sana mgunda ball kila sehemu acha na huyo maji marefu wa tunisiasi kama juma bonge eti kujiita pep na lijinzi lake kubwa yaan mvuvi pale tanga kaokotwa leo eti pep mnene
waydad aibu inaanzia darHivi kweli Yanga ndiyo timu ya kupata kagoli 1 tena baada ya wapinzani kupungua. Wakati hadi confederation CAF wanaijua. Alafu kocha Nabi hatumuoni kaenda wapi na kuiacha timu ikiwa taabani hivi. Kwa mwendo huu, yajayo ya Rivers United yatafurahisha
Ona naye huyu popoma, mechi za mtoano huwa hazina point bali ni idadi ya magoli.kwahiyo goli 10 ni point zile zile 3
na goli 1 bado point ni 3 sasa hapo unatakaje?
haya ndo madhara ya kupiga nyeto na mafuta ya kulaOna naye huyu popoma, mechi za mtoano huwa hazina point bali ni idadi ya magoli.
Point hutumika kwenye ligi au makundi ya ligi.
Mpira mnaukimbilia ila hamuujui.
Na wewe umejiona mjanja kweli kwa hii takataka uliondika hapa..Ona naye huyu popoma, mechi za mtoano huwa hazina point bali ni idadi ya magoli.
Point hutumika kwenye ligi au makundi ya ligi.
Mpira mnaukimbilia ila hamuujui.
Wenye akili gongowazi ni wawili tukwahiyo goli 10 ni point zile zile 3
na goli 1 bado point ni 3 sasa hapo unatakaje?
Ficha aibu ya upumbavu wako..Kwan hata kama yanga ingeshinda kumi ndio nusu fainal ikitokea ikipigwa haitoki kwenye mashindano na kuendelea na fainali.Wenye akili gongowazi ni wawili tu