Hivi kokoto zinafanya kazi gani kwenye reli?

Hivi kokoto zinafanya kazi gani kwenye reli?

Dasizo

Senior Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
173
Reaction score
413
Wanajamii naombeni mnijuze kazi ya kokote kwenye reli, najiuliza sipati jibu
 
Reli inazuia linear expansivity hii ni kwa wale tuliosomea Modern Physics Cuba kule ambapo jua linachomozea ardhini kama uyoga
 
IMG-20230412-WA0000.jpg
 
nilisikia zile kokoto hazifai ata kujengea, wanasema zinatereza kwenye saruji
 
1...Kuzuia mmomonyoko wa reli
2..kupunguza expansion ya vyuma katika reli
3..kuongeza stability ya reli
5..kuzuia majani yasiote kwenye reli
6..kuzuia maji yasituame katika reli
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom