FOX21
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 493
- 916
Hizo kokoto hutumika pale treni ikiharibikia njiani watu hushuka na kuanza kuwinda ndege kwa manati, ili kujikeep busy mpaka itakapo tengemaa treni, na kwa wanawake hucheza ule mchezo wa kurusha jiwe moja juu huku akitoa machache yaliyomo kwenye kashimo. tena kurusha na kurudisha machache kwenye shimo.( Kugorisha). I think nimeeleweka.🙏🙏