Hivi kombora lililopiga Poland ingeshutumiwa Venezuela au Iran Biden angekuwa mpole hivi?!!!!

Hivi kombora lililopiga Poland ingeshutumiwa Venezuela au Iran Biden angekuwa mpole hivi?!!!!

tatizo mnahisi NATO sawa na Urusi au Iran , hakuna mtu NATO walimdeal kwa Pupa , hata Osama alifanya meng ila walikuja kumdeal baadara sana hata Ghadaf hata Iraq hata Syria
Russia na Nato wameanza Miaka mingi sana mzee. Zamani sana.

Russia ina Sifa kama za Nato na Power inatokaribiana na Nato .

Sahau hilo.

Uwepo wa Nuclear Warheads 5000 ni changamoto, hawawez kumvamia kijesh hata chembe
 
Iraq siyo mwanachama wa nato....hicho kipengele cha mmoja akishambuliwa wote wameshambuliwa kinafanya kazi ndani ya mipaka ya Nchi wanachama wa NATO pekee....

Na siyo Iran pekee huko Afghanistan mamia ya wanajeshi wa Marekani wameuwawa

Military Operations Nje ya mipaka ya nato haihusiki hata kama inafanywa na nchi mwanachama wa Nato inatakiwa Iran Ishambulie US moja kwa Moja au Nchi mwanachama tuone.

Unajua pia , wewe ukianzisha vita na nchi nyingine, jmaa wakiRetaliate basi ARTICLE 5 ya NATO haitakusaidia.

Mfano France amchokoze Russia then Russia akiwashe. NATO hawataingia front mzee.

KAISOME Article 5 vizuri kwanza
 
Back
Top Bottom