Hivi kombora lililopiga Poland ingeshutumiwa Venezuela au Iran Biden angekuwa mpole hivi?!!!!

tatizo mnahisi NATO sawa na Urusi au Iran , hakuna mtu NATO walimdeal kwa Pupa , hata Osama alifanya meng ila walikuja kumdeal baadara sana hata Ghadaf hata Iraq hata Syria
Russia na Nato wameanza Miaka mingi sana mzee. Zamani sana.

Russia ina Sifa kama za Nato na Power inatokaribiana na Nato .

Sahau hilo.

Uwepo wa Nuclear Warheads 5000 ni changamoto, hawawez kumvamia kijesh hata chembe
 

Unajua pia , wewe ukianzisha vita na nchi nyingine, jmaa wakiRetaliate basi ARTICLE 5 ya NATO haitakusaidia.

Mfano France amchokoze Russia then Russia akiwashe. NATO hawataingia front mzee.

KAISOME Article 5 vizuri kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…