Ila mkuu kumbuka kuwa hawa wanaochukua wake za watu wenyewe wana kamsemo kao kuwa mke wa mtu hana gharama. Unadhani ni rahisi kabisa mwanamke achepuke halafu alete alichohongwa mje mtumie pamoja? Kwanza dhamira yake huwa inamsuta kwa ile dhambi.Kwa vile tu kwamba siyo jambo lenye kufaa lakini Kama ingekuwa Ni jambo la kufaa basi binafsi naona akichepuka mwanamke aliyeolewa Ni afadhali sababu inapelekea cash inflows kwenye familia tofauti Na Mume yeye akichepuka kunakuwa Na cash outflow kwenye familia
Mmhh! Ndugu yangu yani jamaa likamwagilie mijuzi yake mle na wewe uje uweke humo humo[emoji16] [emoji16]Kwa vile tu kwamba siyo jambo lenye kufaa lakini Kama ingekuwa Ni jambo la kufaa basi binafsi naona akichepuka mwanamke aliyeolewa Ni afadhali sababu inapelekea cash inflows kwenye familia tofauti Na Mume yeye akichepuka kunakuwa Na cash outflow kwenye familia
Duuh! Mimi hakuna cha a certain akinisaliti nikajua inakula kwake aisei..!Ila mkuu kumbuka kuwa hawa wanaochukua wake za watu wenyewe wana kamsemo kao kuwa mke wa mtu hana gharama. Unadhani ni rahisi kabisa mwanamke achepuke halafu alete alichohongwa mje mtumie pamoja? Kwanza dhamira yake huwa inamsuta kwa ile dhambi.
Ila issue ya kuchepuka huwa inauma kwa jinsi wewe ulivyomchukulia huyomwenzi wako kama ulimpenda kidhati haijalishi kama ni mwanamume au mwanamke roho itauma sana ila kama ulichukua ili akusaidie tu kujiza dunia utakasirika for a certain time then utapotezea tu.
Kwa Ulimwengu huu wachache sana aiseee ndugu believe meEti sawasawa tuh..! Kwanini watu wamekata tamaa hivyo?
Naomba hiyo necha ikupite kushoto kwa jina la Yesu, kila ukitaka kuchepuka baiolojia yako ikose ushirikiano fizikali....Mwanaume akichepuka ni kutimiza takwa la necha...
Mwanamke akichepuka ni umalaya...
Baaas...
Ndo ufanye juhudi sasa... upunguze uchoyo wa kunigawia hicho kifaa cha uzaziNaomba hiyo necha ikupite kushoto kwa jina la Yesu, kila ukitaka kuchepuka baiolojia yako ikose ushirikiano fizikali....