bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Naomba tupeane uzoefu wa jinsi hali inavyokuwa unavyojua na kujihakikishia kuwa mwenzio (mke/mume/mpenzi) kachepuka uchungu na uzito tunao lipa tatizo hili huwa ni sawa kwa wanaume na wanawake?
Mfano chukulia umeoa ukamshika mkeo anachepuka jinsi unavyolichukulia na adhabu itakuwa sawa na yeye atakavyokubamba umechepuka? Lakini mhimu zaidi ni kujua nani hasa kati ya wanaume na wanawake huwa wanaumia sana na yupi ni rahisi kumsamehe mwenzio kuliko mwingine
.