Hivi kuchepuka kwa mwanaume na mwanamke vina uzito sawa?

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
12,457
Reaction score
12,689
Naomba tupeane uzoefu wa jinsi hali inavyokuwa unavyojua na kujihakikishia kuwa mwenzio (mke/mume/mpenzi) kachepuka uchungu na uzito tunao lipa tatizo hili huwa ni sawa kwa wanaume na wanawake?

Mfano chukulia umeoa ukamshika mkeo anachepuka jinsi unavyolichukulia na adhabu itakuwa sawa na yeye atakavyokubamba umechepuka? Lakini mhimu zaidi ni kujua nani hasa kati ya wanaume na wanawake huwa wanaumia sana na yupi ni rahisi kumsamehe mwenzio kuliko mwingine
e9474ab0355a8e71f30ff284fce9880e.jpg
.
b9c3d2a571f9fcb8eec4c6e4dcd871ad.jpg
 
Kwa vile tu kwamba siyo jambo lenye kufaa lakini Kama ingekuwa Ni jambo la kufaa basi binafsi naona akichepuka mwanamke aliyeolewa Ni afadhali sababu inapelekea cash inflows kwenye familia tofauti Na Mume yeye akichepuka kunakuwa Na cash outflow kwenye familia
 
Sawa sawa Tu na ndo maisha tunayoishi siku hiz ila madhara ni pale munapata HIV AIDS na kuacha watoto ktk shida mutakapo dead
 
Kwa vile tu kwamba siyo jambo lenye kufaa lakini Kama ingekuwa Ni jambo la kufaa basi binafsi naona akichepuka mwanamke aliyeolewa Ni afadhali sababu inapelekea cash inflows kwenye familia tofauti Na Mume yeye akichepuka kunakuwa Na cash outflow kwenye familia
Ila mkuu kumbuka kuwa hawa wanaochukua wake za watu wenyewe wana kamsemo kao kuwa mke wa mtu hana gharama. Unadhani ni rahisi kabisa mwanamke achepuke halafu alete alichohongwa mje mtumie pamoja? Kwanza dhamira yake huwa inamsuta kwa ile dhambi.
Ila issue ya kuchepuka huwa inauma kwa jinsi wewe ulivyomchukulia huyomwenzi wako kama ulimpenda kidhati haijalishi kama ni mwanamume au mwanamke roho itauma sana ila kama ulichukua ili akusaidie tu kujiza dunia utakasirika for a certain time then utapotezea tu.
 
Mmhh! Ndugu yangu yani jamaa likamwagilie mijuzi yake mle na wewe uje uweke humo humo[emoji16] [emoji16]
 
Ila mkuu kumbuka kuwa hawa wanaochukua wake za watu wenyewe wana kamsemo kao kuwa mke wa mtu hana gharama. Unadhani ni rahisi kabisa mwanamke achepuke halafu alete alichohongwa mje mtumie pamoja? Kwanza dhamira yake huwa inamsuta kwa ile dhambi.
Ila issue ya kuchepuka huwa inauma kwa jinsi wewe ulivyomchukulia huyomwenzi wako kama ulimpenda kidhati haijalishi kama ni mwanamume au mwanamke roho itauma sana ila kama ulichukua ili akusaidie tu kujiza dunia utakasirika for a certain time then utapotezea tu.
Duuh! Mimi hakuna cha a certain akinisaliti nikajua inakula kwake aisei..!
 
Mwanamke akichepuka ndio mbaya zaidi,anaweza hata kuhamishia moyo kule....mwanaume akichepuka ujue anataka tu kubadilisha ladha ya papuchi ila moyo wake bado utandelea kuwepo kwa mwandani wake.
 
Kwa jamii zetu mwanaume kuchepuka na kufumaniwa huwa inachukuliwa poa na wanawake tumeumbwa na roho za misamaha sana,kimbembe achepuke mwanamke!!! Jamani yaani utazani kachinja MTU hadharani,huchukuliwa Kama msaliti,Malaya,mwenye tamaa,asie tosheka na mengine mengi,alafu uwezo Wa mwanaume kubeba maumivu ya kusalitiwa na kusamehe ni Mdogo mno sio kama Wa sisi wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume akichepuka ni kutimiza takwa la necha...

Mwanamke akichepuka ni umalaya...

Baaas...
 
Naomba hiyo necha ikupite kushoto kwa jina la Yesu, kila ukitaka kuchepuka baiolojia yako ikose ushirikiano fizikali....
 
Ndo ufanye juhudi sasa... upunguze uchoyo wa kunigawia hicho kifaa cha uzazi
 
Back
Top Bottom