Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bendera ni tambara tu wewe kama matambara mengine. Mbona watu wanachoma magauni ,suruali na nguo zao nyingine hawakamatwi?Ukiichoma bendera kazi unayo.
If you think education is expensive try ignorance!View attachment 1839347
Naomba kuuliza naweza kua mshamba hivi kuchoma hela hadharani au bendera ni sahihi ??
Hii koment imeandikwa na K-vant na si mtu..USIKU HUUUU[emoji15][emoji15][emoji15]Bendera ni tambara tu wewe kama matambara mengine. Mbona watu wanachoma maguni ,suruali na nguo zao nyingine hawakamatwi?
Kwann ukamatwe ukiichoma bendera ambayo ni nguo tu? Usikariri wewe! Hatuko Korea Kaskazini hapa.
Yaani unamkamata anayechoma bendera unamwacha mama Samia anayevunja katiba?
Mimi juzi juzi tu hapa nimechoma bendera na sijakamtwa.
Jibu hoja zilizojengwa hapo!Hii koment imeandikwa na K-vant na si mtu..USIKU HUUUU[emoji15][emoji15][emoji15]
Kifupi ni kosa la jinai na inakifungo chake.View attachment 1839347
Naomba kuuliza naweza kua mshamba hivi kuchoma hela hadharani au bendera ni sahihi ??
Acha pang'ang'a.Bendera ni tambara tu wewe kama matambara mengine. Mbona watu wanachoma magauni ,suruali na nguo zao nyingine hawakamatwi?
Kwann ukamatwe ukiichoma bendera ambayo ni nguo tu? Usikariri wewe! Hatuko Korea Kaskazini hapa.
Yaani unamkamata anayechoma bendera unamwacha mama Samia anayevunja katiba?
Mimi juzi juzi tu hapa nimechoma bendera na sijakamtwa.
Umemaliza kazi, uzi ufungwe tu.Hela za kufanya kazi hiyo hua ni fake na hua wanazi print kwa ruhusa maalum,hizo hela sio original,hiyo inafanyika sana USA kwenye movies na kwenye nyimbo kama hizo,
Kuchoma hela halali ni kosa la jinai na utashtakiwa na nchi husika haijalishi wewe muhusika unaishi nchi gani kwani hela hua ni mali ya nchi husika,
Hela hata ikiwa mfukoni mwako bado ni mali ya Serikali,wewe unaimiliki kwa matumizi tu,ni kama ilivyo kwa Passport kua ni mali ya Serikali.
Hizo noti za usa hata huko kwao huonekana. Wakizichoma na sijawahi kusikia wamekamatwa ila kuhusu bendera aisee hilo ni tatizo. Lil Wayne akiwa anafanya shooting alikanyaga bendera ya marekani ikabidi aombe msamaha.
Kwa sisi Tz ukiichora noti au kuichoma kazi unayo. Ukiichoma bendera kazi unayo.
NB. Wewe ni Mirindimo ninayekujua ulikua unakaa Mwananyamala ukahamia Kigamboni?
Naskia kameletewa kashkashKuna kajamaa ka USA juzi amepost akiflush dollar chooni
Nyingine anatupa kwenye maji
Ila nikafikiria labda ni printed tu hazina uhalisia
Nimekudharau sana leoBendera ni tambara tu wewe kama matambara mengine. Mbona watu wanachoma magauni ,suruali na nguo zao nyingine hawakamatwi?