Duuh...! Jaribu kwa uwazi uchome bendera. Chukua bendera kubwa tu ya Tz ichome moto huku ukirekodiwa au nenda mitaa ya changanyikeni,itisha watu anza kuchoma bendera.
Yatakayotokea baada ya hapo kama hujagawanywa vipande usije hapa kulalamika

Kuna mwanamziki mmoja boya wa BAD BOYS juzi amerekodi video anatupa dola laki moja ( USD 100,000) kwenye maji, ambazo ni sawa na hela za kibongo million 230. Laana za kujitafutia. Halaf kesho na keshokutwa mtu anaishiwa anakufa na stress. Kumbe majanga kayatafuta mwenyewe
Aisee yawezekana ulichomea chumbani kwako huwezi fananisha bendera ya taifa na boxer; BENDERA [emoji1241] ni symbol na ni nyara ya taifa vivyo hivyo kwa pesa nembo ya taifa au wimbo[emoji445] wa taifa sheria hairuhu vichezewe hata kidogo ukithibutu ikathibitika sheria inakuhusu aisee[emoji23][emoji23]
Kila nchi inaweza kuwa na sheria tofauti katika hili, ila kwa Tanzania pesa ni mali ya Serikali, ni kosa la jinai kuichoma, kuichana au kuichakaza kwa makusudi.
Huruhusiwi kukaa na pesa nyingi ndani au kuzichimbia chini au kuzificha Kwa namna yoyote itakayo ashiria kuwa pesa hizi zilikuwa zimefichwa.
Hata unapokuwa na pesa nyingi Benk Serikali inaweza kuhoji kama itaona (kunaulazima) uhalali wa pesa hizi, utalazimika kithibitisha pesa hizi zimepatikana Kwa vyanzo gani.