Hivi kuchukua kombe la dunia ni kipimo cha uchezaji bora?

Ameyafungia wap hayo Pele ndondo cup?
Ikiwa Brazil amebakizwa goal 25 na neymar kufunika utawala wake
Magoli halisi pele aliyefunga ni 800tu ila alikuwa na kila kitu alichonacho mess leo
Tena zaidi ya mess maana messi huenda amefika nusu tu ya uwezo wa pelle
 
Nakusoma vizuri sana
Pele ameisaidia Brazil kutwaa kombe la dunia akiwa na miaka 17 tu tena akifunga magoli mawili kwenye finaly na sweeden mwaka 1958
 
Messi hana chochote cha maajabu alichokifanya kwenye soka hadi sasa, amafanya mengi ila katika level za kawaida, huwezi kabisa kusema eti ni mchezaji bora wa muda wote.
 
Jaman punguzen mahaba,

Messi amzidi GAUCHO?

C. RONALDO mwenyewe Kwa GAUCHO anasubiri sana.

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Messi hana chochote cha maajabu alichokifanya kwenye soka hadi sasa, amafanya mengi ila katika level za kawaida, huwezi kabisa kusema eti ni mchezaji bora wa muda wote.
Agiza bapa naja lipa, [emoji16]

Alafu messi ameshindwa kuibeba timu ya taifa,

Anaonekana barcelona tu, hadi aliamua kujiudhuru taifa mchezo!

Kwa sisi wengi hakuna cha messi wala cristiano, hawa wote hawaingii top 3 ya mda wote.

PELE,MARADONA hawa ndo mitume ya soccer, hao wengine wanagombania namba tatu na kuendelea
 
Siwaelewagi KABISA wanaomsifiaga Mess huu nauitaga uendawazimu.Mchezaji bora gani mechi ya UEFA anashindwa kupata ata attempt 1!? Rejea game ya Bacca vs PSG wakiwa Ufaransa.angeama basi ata ligi tukaona uwezo wake ,hana lolote .Timu yake ya taifa inawachezaji wazur sana lakini ameweka mchango gan??Ameanzia mpira Bacca mpaka leo yuko Bacca linganisha bas na C.Ronado ambae aliamia then angalia nani kavunja rekod zaidi.Alafu mludi hapa nasifa zenu.
 

Mkuu hiyo bado haina maana...ukweli ni kuwa PELE NDO NUKSI WACHEZAJI NA MALEGENDS WENZAKE WALIOCHEZA PAMOJA AKIWEMO "ZICO WA BRAZIL" na "FERENC PUSKAS" WANAMSUJUDU NDO IWE HIYO YA MESSI HAPO???...MESSI NI MCHEZAJI MZURI LAKINI HAWEZI KUWA JUU YA PELE NA HAMKARIBII ATA KWA 1000000MILES,SI KWA UFUNGAJI WALA CHOCHOTE KILE MAANA ATA UKICHUKUA GOALS ZOTE ZA MESSI 565 UKAYAZIDISHA MARA MBILI(565×2) NA AKAONGEZEWA GOALS 150 JUU ZA BURE HATOFIKIA RECORD YA PELE GOALS 1283 na assist s 437.


 
Tuje kwa George Weah,aliifanyia nn liberia mpka akapata uchezaj bora wa dunia?
 
Reactions: PNC
Acha uzwazwa
 
NAOMBA JUMLA YA MAKOMBE ALIYOCHUKUA PELE KWENYE MAISHA YAKE YA SOKA Kisha ufananishe na ya King Messi
 
Hata Messi angetwaa kombe la Dunia bado wasingeishiwa sababu

King Messi anawaumiza sana roho
maxwell wa psg, ibrahimovic, giggs wote wana makombe zaidi ya hayo, kama makombe ni kipimo cha ubora je hao ni bora zaidi?
 
Mkuu hayo magoli 1000 ni offside sasa hata wewe si ungefunga kibao au kwa jinsi penado anavyotupia magoli ya offside ingekuwa ndio bado offside ni ruksa angekuwa anaondoka na bao 30 kwa mechi
kipindi cha pele faulo ya kuingia na miguu miwili ilikuwa ni kawaida hata firimbi haipulizwi, pele alikuwa anapigwa buti hadi anasusa mechi, ila leo kipush kidogo tu unaambiwa ni foul. messi anavyotapika uwanjank kipindi cha pelle asingecheza kabisa.

kasome vizuri historia ya pelle
 
NAOMBA JUMLA YA MAKOMBE ALIYOCHUKUA PELE KWENYE MAISHA YAKE YA SOKA Kisha ufananishe na ya King Messi
pelle na messi wamecheza makombe mawili tu pamoja

-world cup
-copa america

tuanze na world cup
-pele kabeba world cup tatu
-messi ana coke zero

tuje copa america
-pele mara 1
-messi coke zero.

hapo tu panatosha kukuambia wapo level gani, mmoja ana manne na mmoja hana kitu.

pelle hajacheza copa de la rey, sijui ngao ya hisani au klabu bingwa dunia, mara super cup na vikombe vingine visivyo na maana. toa hayo messi hana hata makombe 15.
 
Magoli 565?? Wakati pele ana magoli 1350!!!! Get real messi sio all time labda ni best kwenye karne hii ila kma wwe ni mfuatiliaje wa classic football utagundua hata di stefano tu hafikiwi na messi
wakati pele anacheza kulikua na offside?????
 
Ameyafungia wap hayo Pele ndondo cup?
Ikiwa Brazil amebakizwa goal 25 na neymar kufunika utawala wake
kipindi cha pelle kulikuwa na mechi za kirafiki za kimataifa, sijui u17, u18, u20, u21, mara olimpiki. copa america kila mwaka etc,

hesabu magoli ya neymar copa america na kombe la dunia then compare na pelle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…