Hivi kuchukua kombe la dunia ni kipimo cha uchezaji bora?

Hivi kuchukua kombe la dunia ni kipimo cha uchezaji bora?

Mkuu Red Giant,,,,mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe.


Haters wenyewe wanatambua Messi ndiyo king of the king wa soka kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka tangia dunia iumbwe. Lakin hawataki kudhihirisha ukweli huo. And they know kuwa maradona ndiyo second king baada ya king messi.


FIFA co wajinga wamweke King Messi kwenye top 10 greatest football player of all time na ictoshe namba 1.

About KIPELE au KIBABU wanambeba kwa sababu uzee na kunyenyekea mizungu lakin hana lolote la kuvutia .Magoli 1000,, mengi yaripatikana kwa offside na,, 2 w/c ambazo mbili alizipata akiwemo ndani ya uwanja na ya 3 alikuwa injured na co kwa uwezo wake pekee. Walikuwemo Djalma na garincha kipindi hicho.

Narudia tena,,,kipindi cha akina pele hakukukuwa na masharti yoyote ndani ya uwanja kama ambavyo 2meshuhudia. Masharti haya yameanza kipindi cha DIEGO 10.


King Messi and king Maradona full stop
 
Naona siku hizi ni Messi Na Ronaldo basi enzi hizo sidhani kama ilikuwa hivo
 
Yeah maana timu ya taifa hainaga usajili hivyo uwezo binafsi wa mchezaji ndio unaonekana mfano kwa bale akiwa wales ndio unamuona kwa uhalisia kuliko akiwa na stae studded real madrid team au kma messi akiwa argentina unamuona kwa uhalisia kuliko barca kulikoja masuperstar

Kipimo cha juu cha uwezo wa mchezaji ni timu ya taifa maana kma hauna masuperstar huwezi sajili hivyo tunaona uhalisia wa wachezaji kwahyo nakubaliana na hoja kuwa kombe la dunia ndio kipimo cha uwezo wa mchezaji
Naunga mkono hoja,huko kwenye vilabu watu wanatembelea nyota Za watu
 
Bila ubishi wote tunajua kuwa Leonel Messi ndiyo mchezaji bora kutokea tokea dunia iumbwe. Ila kumekuwa na haters wachache wakisema hawezi kuwa bora mpaka abebe kombe la dunia, kweli? Kombe la dunia linachezwa kwa muda wa mwezi mmoja kila baada ya miaka minne. Timu hadi kuchukua kombe inakuwa imecheza mechi saba. Je mashindano mafupi hivyo yanatosha kupima ubora wa mchezaji au ni uhater tu?
Unasoma form one up to four for four years then necta ni only three hours
 
Mkuu hayo magoli 1000 ni offside sasa hata wewe si ungefunga kibao au kwa jinsi penado anavyotupia magoli ya offside ingekuwa ndio bado offside ni ruksa angekuwa anaondoka na bao 30 kwa mechi
Huwezi kuyaita magoli ni offside kama Sheria ya offside haikwepo.Kama unadhani ilikuwa Rahisi kufikisha magoli 1000 basi majority ya wachezaji wa zamani wangekuwa Na magoli 1000+
 
Ila unasahau kulikuwa unapigwa viatu hamna red card

Unasahau kulikuwa hakuna matuta baada ya dakka 120 yaani kesho yake mechi inarudiwa upya

Unasahau pia kulikuwa hakuna sub kma sahvi hivyo mmoja akiumia ndio imekula kwenu

Huoni jinsi jamaa alivyoshine kwenye wakati mgumu sana!!!!
Dah hamna Sub,Hamna Red kweli mpira ulikuwa mgumu
 
kipindi cha pele faulo ya kuingia na miguu miwili ilikuwa ni kawaida hata firimbi haipulizwi, pele alikuwa anapigwa buti hadi anasusa mechi, ila leo kipush kidogo tu unaambiwa ni foul. messi anavyotapika uwanjank kipindi cha pelle asingecheza kabisa.

kasome vizuri historia ya pelle
Messi angecheza enzi Za Pelle angestaafu mpira akiwa Na miaka 25
 
Dah hamna Sub,Hamna Red kweli mpira ulikuwa mgumu
Acha kabisa mkuu afu ndio watalinganisha na hawa kina messi wakivutwa shati tu mtu anakula red na akichoka ronaldo anaingizwa bale??????

Mkuu hta youtube ingia uone mechi ya portugal vs brazil ya 1966 pele kavunjwa mguu kacheza na ogo dakika karibu 30 kipindi cha pili anachechemea na damu zinatoka afu watu wanatala kulinganisha na hawa wa sasa hivi wakipata mafua tu wanakaa nje ya dimba???
 
Ameyafungia wap hayo Pele ndondo cup?
Ikiwa Brazil amebakizwa goal 25 na neymar kufunika utawala wake
Hivi unajua pele amestaafu mpira zaidi ya mara tatu ila ikikaribia world cup ndio anabembelezwa kucheza!! Alistaafu akiwa na umri wa miaka 25 ndo akarudi wakati wa world cup!!!! Sasa neymar anacheza kila mechi toka ameanza kuwa timu ya taifa ndio utalinganisha na pele?

Pele kafunga hayo magol enzi hizo world cup ina timu 16 pekee leo hii kombe lina timu 32 ndio mnaona lina klose sijui de lima ndio wanaongoza kwa magoli???

Ligi yao enzi hizo ina timu sio zaidi ya 14!!!! Ila bado walifunga yote hyo..... messi hana lolote hta kwa zico njemba iliopiga goli zaidi ya 95 msimu mmoja
 
Back
Top Bottom