Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
mkuu gaucho ameonyesha uwezo misimu miwili tu na akaanza kukaza mademu wasiomhusu na kuharibu kiwango chake.Jaman punguzen mahaba,
Messi amzidi GAUCHO?
C. RONALDO mwenyewe Kwa GAUCHO anasubiri sana.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
NAOMBA JUMLA YA MAKOMBE ALIYOCHUKUA PELE KWENYE MAISHA YAKE YA SOKA Kisha ufananishe na ya King Messi
Wakati unajiandaa nikuombe matokeo ya MmorokoHahaha!...kazi ndogo sana hiyo, umenivuruga ngoja nitulie nifungue thread about The really PELE...The One&Only at the top of All players in the world, alafu uje mwenyewe useme kama messi anatamba kwa PELE...just wait you will see all of it man.
KUNA TETESI ETI RONALDO ATAPIGA PENALTY YAKE KESHO[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]asee mtu kombe la dunia hatahajachukua bas tumpe pass
unakuta hata kombe la kuku akiwa na taifa lake hajachukua
hamna kitu hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KUNA TETESI ETI RONALDO ATAPIGA PENALTY YAKE KESHO[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu najua imekukera sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jikite kwenye mada ndugu mchangiaji
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu najua imekukera sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo yamekuwa hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
tatizo Chile wana kamiaga sana kombe lolote linalo anzia na herufi C
wamenikera wale jamaa wa tatu asee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo yamekuwa hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Goaaaaaaaaaaaaal Ronaldo
kibiti 1 - 0 Chile
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu agiza novidaSiwaelewagi KABISA wanaomsifiaga Mess huu nauitaga uendawazimu.Mchezaji bora gani mechi ya UEFA anashindwa kupata ata attempt 1!? Rejea game ya Bacca vs PSG wakiwa Ufaransa.angeama basi ata ligi tukaona uwezo wake ,hana lolote .Timu yake ya taifa inawachezaji wazur sana lakini ameweka mchango gan??Ameanzia mpira Bacca mpaka leo yuko Bacca linganisha bas na C.Ronado ambae aliamia then angalia nani kavunja rekod zaidi.Alafu mludi hapa nasifa zenu.
Dah wabongo bwana mnasahau miaka ya 50 wakati pele anaanza mpira kulikuwa hakuna sub??wakati pele anacheza kulikua na offside?????
Tatizo hilo la kuchukua kombe la dunia mnaliangalia kiblack and white. Kwamba usipochukua basi hukufanya kitu. Mnasahau kuwa Messi kaifikisha timu yake fainali, pia kachukua uchezaji bora wa kombe la dunia. hayo ni mafanikio makubwa sana kwa kombe linalocgezwa kila baada ya miaka minne.Mtoa mada kukujibu,
kutwaa kombe la dunia si kigezo cha kuwa bora ila kuipa timu yako kombe la dunia ni kigezo cha kuwa bora miaka yote.
maradona, pele, zidane hawakuwa tu kwenye vikosi vilivyotwaa kombe la dunia bali wao wenyewe kwa kiasi kikubwa walibadilisha matokeo na kuzipa nchi zao makombe.
messi anajua chenga, anajua pasi za magoli, anajua kufunga na mambo mengi ya mpira, ila ikifika siku ya fainali ghafla anapotea, siku ambayo kila mtu anamuangalia yeye na wanategemea maajabu yake ndio siku anayopotea,
sasa kwa style hio unaniaminishaje ni mchezaji bora wa miaka yote? kwa kuwafunga alaves na granada?
hata huo mwaka ambao walifika fainali kombe la dunia messi hajafunga wala kutoa pasi ya goli kwenye hatua za mtoano, aliwaonea tu kwenye makundi.
wakati zidane anawavuruga vibaya sana brazili pale 1998 na kutwaa ubingwa, pele ndio kabisa kabeba mara 3 na akifunga magoli muhimu kila stage. maradona nae chenga zake zilikuwa ni siku muhimu alikuwa anahakikisha anafanya mambo makubwa pale timu inapo muhitaji.
Argentina wenyewe bado hawasemi messi ni bora kuliko maradona sembuse Dunia?
fainali ipi mkuu nikumbushe? fainali ya kombe la dunia ni messi aliewapeleka? au nikukumbushe mechi za mtoano?Tatizo hilo la kuchukua kombe la dunia mnaliangalia kiblack and white. Kwamba usipochukua basi hukufanya kitu. Mnasahau kuwa Messi kaifikisha timu yake fainali, pia kachukua uchezaji bora wa kombe la dunia. hayo ni mafanikio makubwa sana kwa kombe linalocgezwa kila baada ya miaka minne.
KakimbiaaaaAkijibu utanistua