Hivi kuchukua kombe la dunia ni kipimo cha uchezaji bora?

Mkuu Red Giant,,,,mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe.


Haters wenyewe wanatambua Messi ndiyo king of the king wa soka kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka tangia dunia iumbwe. Lakin hawataki kudhihirisha ukweli huo. And they know kuwa maradona ndiyo second king baada ya king messi.


FIFA co wajinga wamweke King Messi kwenye top 10 greatest football player of all time na ictoshe namba 1.

About KIPELE au KIBABU wanambeba kwa sababu uzee na kunyenyekea mizungu lakin hana lolote la kuvutia .Magoli 1000,, mengi yaripatikana kwa offside na,, 2 w/c ambazo mbili alizipata akiwemo ndani ya uwanja na ya 3 alikuwa injured na co kwa uwezo wake pekee. Walikuwemo Djalma na garincha kipindi hicho.

Narudia tena,,,kipindi cha akina pele hakukukuwa na masharti yoyote ndani ya uwanja kama ambavyo 2meshuhudia. Masharti haya yameanza kipindi cha DIEGO 10.


King Messi and king Maradona full stop
 
Naona siku hizi ni Messi Na Ronaldo basi enzi hizo sidhani kama ilikuwa hivo
 
Naunga mkono hoja,huko kwenye vilabu watu wanatembelea nyota Za watu
 
Unasoma form one up to four for four years then necta ni only three hours
 
Mkuu hayo magoli 1000 ni offside sasa hata wewe si ungefunga kibao au kwa jinsi penado anavyotupia magoli ya offside ingekuwa ndio bado offside ni ruksa angekuwa anaondoka na bao 30 kwa mechi
Huwezi kuyaita magoli ni offside kama Sheria ya offside haikwepo.Kama unadhani ilikuwa Rahisi kufikisha magoli 1000 basi majority ya wachezaji wa zamani wangekuwa Na magoli 1000+
 
Dah hamna Sub,Hamna Red kweli mpira ulikuwa mgumu
 
Messi angecheza enzi Za Pelle angestaafu mpira akiwa Na miaka 25
 
Dah hamna Sub,Hamna Red kweli mpira ulikuwa mgumu
Acha kabisa mkuu afu ndio watalinganisha na hawa kina messi wakivutwa shati tu mtu anakula red na akichoka ronaldo anaingizwa bale??????

Mkuu hta youtube ingia uone mechi ya portugal vs brazil ya 1966 pele kavunjwa mguu kacheza na ogo dakika karibu 30 kipindi cha pili anachechemea na damu zinatoka afu watu wanatala kulinganisha na hawa wa sasa hivi wakipata mafua tu wanakaa nje ya dimba???
 
Ameyafungia wap hayo Pele ndondo cup?
Ikiwa Brazil amebakizwa goal 25 na neymar kufunika utawala wake
Hivi unajua pele amestaafu mpira zaidi ya mara tatu ila ikikaribia world cup ndio anabembelezwa kucheza!! Alistaafu akiwa na umri wa miaka 25 ndo akarudi wakati wa world cup!!!! Sasa neymar anacheza kila mechi toka ameanza kuwa timu ya taifa ndio utalinganisha na pele?

Pele kafunga hayo magol enzi hizo world cup ina timu 16 pekee leo hii kombe lina timu 32 ndio mnaona lina klose sijui de lima ndio wanaongoza kwa magoli???

Ligi yao enzi hizo ina timu sio zaidi ya 14!!!! Ila bado walifunga yote hyo..... messi hana lolote hta kwa zico njemba iliopiga goli zaidi ya 95 msimu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…