Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Hivi kweli kufanya uzembe Tanzania hadi watu wa nchi hii na mataifa jirani wakafa kutokana na sababu ambazo zingeweza kuzuilika si sawa na mauaji kweli?
HAKUNA kiongozi hata mmoja dunia hii leo anaepigwa picha "anakula Bata" wakati nchi inakabiliwa na tishio kubwa namna hii. Hivi hakuna namna jiwe likafunguliwa kesi ya mauaji ya kimbari?