Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
chuki itakuua na kuendelea nayo Mpaka uzeeni utakuwa mchawi
Maana ya mauaji ya kimbari unaijua??Hivi kweli kufanya uzembe Tanzania hadi watu wa nchi hii na mataifa jirani wakafa kutokana na sababu ambazo zingeweza kuzuilika si sawa na mauaji kweli?
HAKUNA kiongozi hata mmoja dunia hii leo anaepigwa picha "anakula Bata" wakati nchi inakabiliwa na tishio kubwa namna hii. Hivi hakuna namna jiwe likafunguliwa kesi ya mauaji ya kimbari?
Maana ya mauaji ya kimbari unaijua??
Doooh, ngoja tuishie hapa tu.The fact kuwa ndani ya dakika 10 kuna tayari mataga kadhaa kwenye huu Uzi, it means am right in my assessment. Tunajiaanda kupeleka petition mahali husika.