Hivi kufuta ni wajibu wa nani haswa; me au ke?!!!!

Hivi kufuta ni wajibu wa nani haswa; me au ke?!!!!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Au Kila mtu ajihudumie mwenyewe?!!! Na vipi kitmabaa, kila mmoja na chake au kimoja hiccho hicho?!!! Tupieni maujuzi kwa mustakabali mwema wa taifa letu wadau.
 
"kwa mustakabali mwema wa taifa letu" ndo yakufutana vitambaa mkuu kila mtu na chake😁🤭🤣
 
ukiona binadam Both Me au Ke anapenda kula vya wenzie tu, yeye hataki kujishughulisha kupata hata chake kidogo basi ujue una utahila flani ivi
 
Mnafutana nini tena🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom