Hivi kujikuta unamka bila nguo wakati ulizivaa wakati wa kulala ina maana gani?!!

Maana yake ni kwamba hukuvaa nguo kabla hujapanda Kitandani.
 
Baada ya wiki kapime ujauzito 😂

Baada ya miezi mitatu kapime ukimwi 😂

Baada ya siku tatu anza route za kupima magonjwa mengine ya zinaa 😂
 
Washamalizna na wewe hapoo kama mwanaume kapime
 
Uliota nini boss

kama umeota blank ndio baasi ndiooo basiii tena
Mdogomdogo kam dayamondi ndio basi tenaaa
Mshike ndege tunduniii

IItikia ndio basi tenaaa
 
Jitahidi uwe unalala na mafuta wasije wakakuambukiza magonjwa ya zinaa🤒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…